Tunda na Ndaro hawaendani hata kidogo, Tunda hajui thamani yake

Shida ya Tunda hajatulia, baada ya kuachana na Meja hapa katikati alikitembeza kimtindo sema alikuwa na date na watu wasiokuwa na majina.

Ila kwa huyu wa sasa aisee big No.

Kabugi.
Hao anao date nao ndo size yake,unadhani yeye hajatafakari na kuwaza kwa kina? Kwan Tunda hata zaman mahusiano yake ya wazi kwa mtu wa maana ni Kinje tyuuh.

Wengine wotee ni wa kawaida, na km wa maana walikuwepo bas ni wa kificho wasiotaka kujulikana, wa kumpeleka hotel na kumuacha hides.

Tunda hajawahi situa umma kwenye mahusiano yako kwa mtuu wa maana hapana
 
Chai…..
 
Binti Mdogo keshatengeneza nyama za mashangazi

Subhanallah
 
Hayo mambo ya hawaendani yanatoka wapi ? Ulisikia wapi ,ukweli ni kwamba wanaendana maana naona Ndaro ana miguu miwili na mikono miwili ,vile vile Tunda hivyo hivyo, alafu thamani ya Tunda iko wapi si msimbe tu ambaye hata mimi nikimuoa jamii inaniona kama nimefeli tayari , huyo cha wengi wamepita na Ndaro atapita zake , uzuri wa nje haumanishi kilichomo ndani nachoamini Tunda ukute siyo mtamu.
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…