Tunda na Ndaro hawaendani hata kidogo, Tunda hajui thamani yake

Shida ya Tunda hajatulia, baada ya kuachana na Meja hapa katikati alikitembeza kimtindo sema alikuwa na date na watu wasiokuwa na majina.

Ila kwa huyu wa sasa aisee big No.

Kabugi.
Hao anao date nao ndo size yake,unadhani yeye hajatafakari na kuwaza kwa kina? Kwan Tunda hata zaman mahusiano yake ya wazi kwa mtu wa maana ni Kinje tyuuh.

Wengine wotee ni wa kawaida, na km wa maana walikuwepo bas ni wa kificho wasiotaka kujulikana, wa kumpeleka hotel na kumuacha hides.

Tunda hajawahi situa umma kwenye mahusiano yako kwa mtuu wa maana hapana
 
Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro.

Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo.

Kwangu mimi ,hii couple aisee hapana haivutii hata kidogo

Ila tusemeni tu ukweli ,Tunda hajui thamani ya uzuri wake ndio maana kila kukicha ana date na watu wa ajabu ajabu .

Ukimtoa Kinje, mpaka sasa sijamuona bwana wa maana ambaye Tunda ame date naye.

Yani kuanzia young D, Casto Dickson , Meja Kunta, Whozu, na huyu wa sasa Ndaro ndio kabisaa hawaendani.

Ndaro na Tunda hawaendani kabisa, kiharaka haraka unaweza kusema Tunda kudate na Ndaro ni kama amenuonea huruma tu ila sio size yake kabisa sawa na hao madogo wengine

Asipotulia na kujitathmini vizuri ataishia kudate na watu wa hadhi ndogo kama hao wengine.

Casto nusu awehuke alivyoachwa na Tunda , Tunda alichangia kumuharibu sana jamaa alikuwa havuti sigara wala pombe ila akaanza kutumia baada ya kuwa penzini na tunda

View attachment 3022845View attachment 3022846View attachment 3022847
Chai…..
 
Binti Mdogo keshatengeneza nyama za mashangazi

Subhanallah
 
Hayo mambo ya hawaendani yanatoka wapi ? Ulisikia wapi ,ukweli ni kwamba wanaendana maana naona Ndaro ana miguu miwili na mikono miwili ,vile vile Tunda hivyo hivyo, alafu thamani ya Tunda iko wapi si msimbe tu ambaye hata mimi nikimuoa jamii inaniona kama nimefeli tayari , huyo cha wengi wamepita na Ndaro atapita zake , uzuri wa nje haumanishi kilichomo ndani nachoamini Tunda ukute siyo mtamu.
 
Chai
 
Back
Top Bottom