Tunda na Ndaro hawaendani hata kidogo, Tunda hajui thamani yake

Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro.

Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo.

Kwangu mimi ,hii couple aisee hapana haivutii hata kidogo

Ila tusemeni tu ukweli ,Tunda hajui thamani ya uzuri wake ndio maana kila kukicha ana date na watu wa ajabu ajabu .

Ukimtoa Kinje, mpaka sasa sijamuona bwana wa maana ambaye Tunda ame date naye.

Yani kuanzia young D, Casto Dickson , Meja Kunta, Whozu, na huyu wa sasa Ndaro ndio kabisaa hawaendani.

Ndaro na Tunda hawaendani kabisa, kiharaka haraka unaweza kusema Tunda kudate na Ndaro ni kama amenuonea huruma tu ila sio size yake kabisa sawa na hao madogo wengine

Asipotulia na kujitathmini vizuri ataishia kudate na watu wa hadhi ndogo kama hao wengine.

Casto nusu awehuke alivyoachwa na Tunda , Tunda alichangia kumuharibu sana jamaa alikuwa havuti sigara wala pombe ila akaanza kutumia baada ya kuwa penzini na tunda

View attachment 3022845View attachment 3022846View attachment 3022847
Wivu siyo poa.
 
Attachments

Naona umeamua kuchagua picha mbaya kabisa ya ndaro,
 
✍️ Dr am 4 real PhD

Beauty is subjective because different people have different ideas and opinions about what is beautiful.

There's no universal standard for beauty, and it can vary greatly depending on individual tastes and cultural influences.

Individual Perception: Beauty is perceived differently by each individual based on their unique experiences, preferences, and values. What one person finds attractive or pleasing may not be the same for another.

So huwezi SEMA TUNDA sio hadhi yake NDARO..
 
Mtu WA maana kabisa ww.
 
Casto nusu awehuke alivyoachwa na Tunda , Tunda alichangia kumuharibu sana jamaa alikuwa havuti sigara wala pombe ila akaanza kutumia baada ya kuwa penzini na tunda

"Tatizo lilianza alivyoenda kupima", nimenukuu maneno toka kijiweni kwetu K'nyama
 
Screenshot_20240622-105758_1.jpg
Msaada wa VAR tafadhari
 
Back
Top Bottom