Tunda na Ndaro hawaendani hata kidogo, Tunda hajui thamani yake

Tunda na Ndaro hawaendani hata kidogo, Tunda hajui thamani yake

Demu kachezewa hana kazi zaidi ya umlaya hiyi thamani ataipata wapi?

Yaani anazalishwa wajanja wanamuona takataka , kazi hana mjini ataishi vip.
 
Ndaro ndo hajui thamani yake, kidemu kimebanduliwa na kila mtu yaani mpaka ute umeshamkauka tayari akiwa na umri mdogo vile na mtoto juu
 
Tuseme kwamba unamuonea wivu tunda kwa mabwana zake. Yaani unatamani wew ndo ungekuwa tunda,
 
Asipotulia na kujitathmini vizuri ataishia kudate na watu wa hadhi ndogo kama hao wengine.
Hivi mkuu, hao watu wenye hadhi ambao unataka wa date na Tunda ni kina nani?

Yaani ni mtu gani mwenye akili timamu, mwenye hadhi yake ambae ataamua kutoka kimapenzi na Tunda?

Hivi umeshapita pita kwenye mitandao huko instagram, vyuoni na sehemu za starehe ukaona jinsi ambavyo kuna pisi kali zimenyooka kama rula, hazina ma skendo ya ajabu ajabu, wala hazina watoto? Watu wenye hadhi waziache hizo, waende kwa Tunda??

Mimi nadhani watu type ya kina Tunda wanatakiwa washukuru sana wakipata mwanamme yoyote manake hapo walipo value yao iko below 0.
 
Back
Top Bottom