Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Acha huyo Ndaro NAE aandike historia.. hawaendani ...hawaendani kitu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nasoma nkimaliza nachoma motoMapenzi kama gazeti soma muachie mwenzako
Minilitaka tu kujua kama huyo binti anawazazi...??Ndio akina nani huko Dar?
Wivu siyo poa.Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro.
Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo.
Kwangu mimi ,hii couple aisee hapana haivutii hata kidogo
Ila tusemeni tu ukweli ,Tunda hajui thamani ya uzuri wake ndio maana kila kukicha ana date na watu wa ajabu ajabu .
Ukimtoa Kinje, mpaka sasa sijamuona bwana wa maana ambaye Tunda ame date naye.
Yani kuanzia young D, Casto Dickson , Meja Kunta, Whozu, na huyu wa sasa Ndaro ndio kabisaa hawaendani.
Ndaro na Tunda hawaendani kabisa, kiharaka haraka unaweza kusema Tunda kudate na Ndaro ni kama amenuonea huruma tu ila sio size yake kabisa sawa na hao madogo wengine
Asipotulia na kujitathmini vizuri ataishia kudate na watu wa hadhi ndogo kama hao wengine.
Casto nusu awehuke alivyoachwa na Tunda , Tunda alichangia kumuharibu sana jamaa alikuwa havuti sigara wala pombe ila akaanza kutumia baada ya kuwa penzini na tunda
View attachment 3022845View attachment 3022846View attachment 3022847
Naona umeamua kuchagua picha mbaya kabisa ya ndaro,Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro.
Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo.
Kwangu mimi ,hii couple aisee hapana haivutii hata kidogo
Ila tusemeni tu ukweli ,Tunda hajui thamani ya uzuri wake ndio maana kila kukicha ana date na watu wa ajabu ajabu .
Ukimtoa Kinje, mpaka sasa sijamuona bwana wa maana ambaye Tunda ame date naye.
Yani kuanzia young D, Casto Dickson , Meja Kunta, Whozu, na huyu wa sasa Ndaro ndio kabisaa hawaendani.
Ndaro na Tunda hawaendani kabisa, kiharaka haraka unaweza kusema Tunda kudate na Ndaro ni kama amenuonea huruma tu ila sio size yake kabisa sawa na hao madogo wengine
Asipotulia na kujitathmini vizuri ataishia kudate na watu wa hadhi ndogo kama hao wengine.
Casto nusu awehuke alivyoachwa na Tunda , Tunda alichangia kumuharibu sana jamaa alikuwa havuti sigara wala pombe ila akaanza kutumia baada ya kuwa penzini na tunda
View attachment 3022845View attachment 3022846View attachment 3022847
Mtu WA maana kabisa ww.✍️ Dr am 4 real PhD
Beauty is subjective because different people have different ideas and opinions about what is beautiful.
There's no universal standard for beauty, and it can vary greatly depending on individual tastes and cultural influences.
Individual Perception: Beauty is perceived differently by each individual based on their unique experiences, preferences, and values. What one person finds attractive or pleasing may not be the same for another.
So huwezi SEMA TUNDA sio hadhi yake NDARO..
Baba yake si ndiye yule askari mstaafu aliyejichimbia kaburi lake huko Moshi?Minilitaka tu kujua kama huyo binti anawazazi...??
AiseeUliwahi kuandika tena kuhusu "Tunda na Casto ni kapo mbaya kuwahi kutokea", unaishi chini ya matrako ya Tunda bila shaka.
ChaiMapenzi ni kitu cha ajabu sana, Watu ambao hawaendani ndio wanaodumu.
picha yake nzuri ipo wapi?Naona umeamua kuchagua picha mbaya kabisa ya ndaro,