68% ya Watanzania ni Waislamu.
Ukiunganisha na visiwani namba inapanda hadi 73%.
Wakristo ni minority katika nchi yetu. Tunapowakosea ni vizuri kuwaomba radhi kama hivi, wasijisikie unyonge!
Dar majority ni Waislamu. Wakristo (watu wa bara) wamehamia tu.
Pwani ndio kabisaaaa.
Lindi, Mtwara huko kote wamejaa Waislamu.
Tanga kunani pale wamejaa wao.
Tabora, Singida misikiti kila kona.
Kigoma huwaambii kitu misikiti imejaa.
Dodoma 50 kwa 50.
Mwanza 50 kwa 50.
Mikoa pekee yenye majority Wakristo ni Kilimanjaro, Rukwa, Iringa na Mbeya.