Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeh ungewaka moto. Kwani yeye haogopi.Kwanini hawakubeba 'Jeneza' la kiislamu, kuigiza kama masheikh, kubeba tasbii, msahafu, kuvaa Barakashee nk. ?
Asante sana kwa akili kubwa hiiHili suala siyo la kidini bali ni la kishabiki wa Simba na Yanga,linalazimishwa tu kuchukua mkondo wa kidini. Mimi ni mkristo lakini sijaona kuwa ukristo umedhihakiwa kwani ni jambo la kawaida tu kwenye Sanaa, ndiyo maana hata kwenye filami watu wanaigiza hata ndani ya Kanisa na hata kumuigiza Yesu Kristo. Wote mnaojadili kwa mtazamo wa dini ni wapuuzi tu maana mumeshahama sasa ni malumbano ya Ukristo na Uislamu, wacheni upumbavu. Mods futeni kabisa huu uzi.
Kaza fuvu ila club yako imechutama imeomba radhiNyie washabiki wa Yanga ndiyo wapumbavu kwani mumelichochea jambo dogo hili hadi limezaa malumbano ya kidini. Hata hao maaskofu michongo waliolibebea bango suala hili ni wapumbavu vile vile na watakuwa ni washabiki wa Yanga.
Wakikosea Yanga kamati ya maadili. Akikosea simba kimyaa.Washenzi hao ilitakiwa wapigwe fine. Kwa vile msomali ni kolo dam dam bas hilo litapita kama upepo.
😂😂😂 wanakuaga na utetezi wao . utasikia HUYO SIO MUISLAM, MUISLAM HAWEZI KUFANYA ALIYOYAFANYA JAMAA 😂😂😂😂 . ndo imeisha hiyo .Tena wangepagawa na mapepo ya kina Makata, Maimuna, Kisimba, n.k. Amani ya nchi hii kwa upande wa imani za kidini inabebwa na ukristo laiti kama wakristo wangekuwa arrogant kwa issue za kidini kama upande wa pili nadhani nchi hii ingekuwa na misukosuko mingi ya kidini.
Msalaba, biblia, jenezaKosa hasa lililogusa ukristo ni nini?
manara aliomba radhi kwa kurushiana maneno na Karia ambayo hadi Leo ni kizungumkuti kujua nani alimuanza mwenzie . licha ya kuomba radhi bado alifungiwa. Simba wamekili na kuomba radhi kuwa walikosea pale uwanjani tena mbele ya umati wa watu lakini TFF hii ya mchongo nakuhakikishia simba hawafanywi chochote. 😂😂😂😂Msi ingize mambo ya dini, dini iwe na wafuasi wengi au wachache kikubwa aliyekosea ameomba radhi ndio uungwana .
Kwahiyo Kilaini na Gwajima walikuwa wanatafuta kusikika kwasababu ni muda sana au?Joho ni la fundi cherehani wa Gezaulole wala sio la kasisi wa kweli, hata hilo jeneza na msalabani ni vya fundi seremala wa Temeke hospital, sasa ukristo umedhihakiwa vipi hapo?
simba akiomba msamaha MUUNGWANA . manara akiomba msamaha ............😂😂😂😂😂Walikua sahihi ila Simba ni waungwana sana,
kama manara aliomba radhi na akapigwa Rungu . simba wameomba radhi mbona hao TFF wako kimya?😂😂😂😂Kama manara tu ambavyo watu wa yanga wanaona hana kosa japo yeye mwenyewe ameshaomba radhi mara mbili na tunasubir sio muda ataenda mbele ya waandishi na ataomba tena japo yanga watanyamaza tu bila kuchangia
Tundaman ni muislam. Alishindwa nini kuvaa kanzu na tasbihi akaingia navyo uwanjani?😂😂😂. Mnajikosha hapa kuwa dini ya Mungu ni uislam. Na kuwa waislamu mpo wengi Tz, Lakini cha ajabu mkitaka kufikisha ujumbe kwa jamii mnatumia matukio ya kikristo😂😂😂. Kwanini msifikishe jumbe zenu kwa njia yenu ya kiislamu.?Joho ni la fundi cherehani wa Gezaulole wala sio la kasisi wa kweli, hata hilo jeneza na msalabani ni vya fundi seremala wa Temeke hospital, sasa ukristo umedhihakiwa vipi hapo?
68% ya Watanzania ni Waislamu.
Ukiunganisha na visiwani namba inapanda hadi 73%.
Wakristo ni minority katika nchi yetu. Tunapowakosea ni vizuri kuwaomba radhi kama hivi, wasijisikie unyonge!
Dar majority ni Waislamu. Wakristo (watu wa bara) wamehamia tu.
Pwani ndio kabisaaaa.
Lindi, Mtwara huko kote wamejaa Waislamu.
Tanga kunani pale wamejaa wao.
Tabora, Singida misikiti kila kona.
Kigoma huwaambii kitu misikiti imejaa.
Dodoma 50 kwa 50.
Mwanza 50 kwa 50.
Mikoa pekee yenye majority Wakristo ni Kilimanjaro, Rukwa, Iringa na Mbeya.
[/QUOTESensa ya Kwa Mtoro. 😁😁😁
Hata kama angekuwa mpagani yeye alichofanya alichagua dini iliyo na wafuasi wengi.Tundaman ni muislam. Alishindwa nini kuvaa kanzu na tasbihi akaingia navyo uwanjani?😂😂😂. Mnajikosha hapa kuwa dini ya Mungu ni uislam. Na kuwa waislamu mpo wengi Tz, Lakini cha ajabu mkitaka kufikisha ujumbe kwa jamii mnatumia matukio ya kikristo😂😂😂. Kwanini msifikishe jumbe zenu kwa njia yenu ya kiislamu.?
Gwajima na kilaini ni wanasiasa tu walitumia hiyo fursa kujinadi kuwa wapo.Kwahiyo Kilaini na Gwajima walikuwa wanatafuta kusikika kwasababu ni muda sana au?
Tulia Akson hawakumuona wakati wa kampeni za uvhaguzi wa ubunge pale Mbeya?
Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app
Kwa nini unatukana wakubwa?Huu uzi una wapumbavu wengi watu mnakazana kutoleana mapovu na wakati milango ya makanisa na misikiti mara ya mwisho kuingia ni mlipokuwa na miaka mitatu kusali hamsali kazi kubishania kiki za wajinga wachache .
Tafuteni cha kufanya acheni kupotezeana nguvu wapumbavu wakubwa.