Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Eti msalaba na jeneza Pamoja na joho la kasisi 🙄Kosa hasa lililogusa ukristo ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti msalaba na jeneza Pamoja na joho la kasisi 🙄Kosa hasa lililogusa ukristo ni nini?
Halafu haya majitu hayana exposure kwahiyo unakuta ndugu wote wako mwambao wa pwani akienda Mtwara, Pwani Tanga na Zanzibar anajua Tanzania nzima ni wafuga majini 😂hahaha hawa jamaa huwa wanajifanya wapo wengi lakin mark maneno yangu tupo 60m iv nchi nzima but hawazid 20m na mikoa dominant kwao ni tanga,mtwara,lindi,singida,tabora,pwani na kigoma na zanzibar na hizi ndio sehemu waarabu walifikia na kuishi na dar sina hakika sana mwingiliano ni mkubwa
Malizia manenoWakristo huwa hawana shida...
[emoji848][emoji23][emoji23] Dah!Na yanga watuombe radhi hawajaweka kanisa mwenye jezi yao, wameweka tu msikiti pekee
Hivi wewe kijana mdogo unaelewa ulichokiandika au umekurupuka tu.? Nimefanya kazi NBS (National Bureau of Statistics) miaka 10 kabla sijaacha kazi na kuhamia Canada hicho ulichoandika hakipo na hakitakuwepo hata iwe miaka 100 ijayo. No proof, no right to say!.68% ya Watanzania ni Waislamu.
Ukiunganisha na visiwani namba inapanda hadi 73%.
Wakristo ni minority katika nchi yetu. Tunapowakosea ni vizuri kuwaomba radhi kama hivi, wasijisikie unyonge!
Dar majority ni Waislamu. Wakristo (watu wa bara) wamehamia tu.
Pwani ndio kabisaaaa.
Lindi, Mtwara huko kote wamejaa Waislamu.
Tanga kunani pale wamejaa wao.
Tabora, Singida misikiti kila kona.
Kigoma huwaambii kitu misikiti imejaa.
Dodoma 50 kwa 50.
Mwanza 50 kwa 50.
Mikoa pekee yenye majority Wakristo ni Kilimanjaro, Rukwa, Iringa na Mbeya.
Hao jamaa wawli ni wa kuangaliwa sana sana wana chuki za wazi na hiyo imani ya piliWaliochochea ni hawa vibwengo wa Utopolo na wakapokewa na maaskofu wa mchongo Kilaini na Gwajima
Umeshiba alkasusu umekuja kujamba humu uchafue hali ya hewa68% ya Watanzania ni Waislamu.
Ukiunganisha na visiwani namba inapanda hadi 73%.
Wakristo ni minority katika nchi yetu. Tunapowakosea ni vizuri kuwaomba radhi kama hivi, wasijisikie unyonge!
Dar majority ni Waislamu. Wakristo (watu wa bara) wamehamia tu.
Pwani ndio kabisaaaa.
Lindi, Mtwara huko kote wamejaa Waislamu.
Tanga kunani pale wamejaa wao.
Tabora, Singida misikiti kila kona.
Kigoma huwaambii kitu misikiti imejaa.
Dodoma 50 kwa 50.
Mwanza 50 kwa 50.
Mikoa pekee yenye majority Wakristo ni Kilimanjaro, Rukwa, Iringa na Mbeya.
Itabidi Mandonga awatafutie ule mtumbwi alioenda nao SongeaWaliochochea ni hawa vibwengo wa Utopolo na wakapokewa na maaskofu wa mchongo Kilaini na Gwajima
Eh tena!?Na la zuchu nalo waliombee radhi!!!
Sikutegemea jamii forum kunawatu wanatathmini mambo katika kiwangao hiki. Unaweza Kuta alichoandika ana maanisha kabisa.Mndali ndanyelakakomu acha ubishi...
Chukwu emeka acha ubishi..
nandengele acha ubishi...
Mmakonde wa Canada acha ubishi...
Diamond Platnumz Muislamu,
Zuchu Muislamu.
Harmonize Muislamu.
Raymond Shaban Muislamu.
Mbosso Muislamu.
Lavalava Muislamu.
Alsay Muislamu.
Salim Kasim (S2Kizzy) Muislamu.
Mandonga Mtu Kazi Muislamu.
Shabani Kaoneka Muislamu.
Kikwete Muislamu.
Samia Muislamu.
Majaliwa Kassim Muislamu.
Hussein Mwinyi Muislamu.
Jf founder pia muislam anazidi kuwaunganisha waislamMndali ndanyelakakomu acha ubishi...
Chukwu emeka acha ubishi..
nandengele acha ubishi...
Mmakonde wa Canada acha ubishi...
Diamond Platnumz Muislamu,
Zuchu Muislamu.
Harmonize Muislamu.
Raymond Shaban Muislamu.
Mbosso Muislamu.
Lavalava Muislamu.
Alsay Muislamu.
Salim Kasim (S2Kizzy) Muislamu.
Mandonga Mtu Kazi Muislamu.
Shabani Kaoneka Muislamu.
Kikwete Muislamu.
Samia Muislamu.
Majaliwa Kassim Muislamu.
Hussein Mwinyi Muislamu.
Walikua sahihi ila Simba ni waungwana sana,Watangazaji wa clouds wa kipindi cha jahazi leo waliongea upuuzi mwingi sana kutetea lile igizo la jeneza,
sasa wenye club yao wameomba radhi.
Kama manara tu ambavyo watu wa yanga wanaona hana kosa japo yeye mwenyewe ameshaomba radhi mara mbili na tunasubir sio muda ataenda mbele ya waandishi na ataomba tena japo yanga watanyamaza tu bila kuchangiaUshabiki usikufanye uonekane hamnazo. Wangefanya Yanga ungeona wana kosa, wamefanya Simba haina connection na Ukristo.
Kuliko hawaHiyo klabu ya pombe inaongozwa kihuni na washikaji tu
Kwa hiyo kasisi hajarudishiwa joho lake?Eti msalaba na jeneza Pamoja na joho la kasisi [emoji849]
Kwahiyo jeneza ndiyo kaaba ya wakorinto au?ni pale tutembee na lile mnalokwenda kuzunguka maka lije uwanjani tuzunguke nalo
Data umetoa kwa bibi yako sio68% ya Watanzania ni Waislamu.
Ukiunganisha na visiwani namba inapanda hadi 73%.
Wakristo ni minority katika nchi yetu. Tunapowakosea ni vizuri kuwaomba radhi kama hivi, wasijisikie unyonge!
Dar majority ni Waislamu. Wakristo (watu wa bara) wamehamia tu.
Pwani ndio kabisaaaa.
Lindi, Mtwara huko kote wamejaa Waislamu.
Tanga kunani pale wamejaa wao.
Tabora, Singida misikiti kila kona.
Kigoma huwaambii kitu misikiti imejaa.
Dodoma 50 kwa 50.
Mwanza 50 kwa 50.
Mikoa pekee yenye majority Wakristo ni Kilimanjaro, Rukwa, Iringa na Mbeya.
Joho ni la fundi cherehani wa Gezaulole wala sio la kasisi wa kweli, hata hilo jeneza na msalabani ni vya fundi seremala wa Temeke hospital, sasa ukristo umedhihakiwa vipi hapo?Kwa hiyo kasisi hajarudishiwa joho lake?
Nililisema hili kuwa Ni kero na dhihak ktk Uzi wangu muda mfupi baada ya kuona jeneza ila wanasimba mambumbumb waliniparua