Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
manejeza? Ndo manini hayo 😂😂😂Kwani ni mara ya kwanza Yanga na ccm kutumia manejeza? Hapa sio ushabiki bali ni uhalisia
Sent using Jamii Forums mobile app
It can be anything..!Tunaweza sema zamani watu walikuw hawafatilii sana kama kipindi cha sasahv
Mzee wa gia ya anganiMuungwana ni kitendo
Ni chokochoko tu. Angefanya hayo maigizo mkristo kwa kutumia maudhui ya dini yao, kesho yake ungesikia matamko ya vitisho zaidi ya 200!Inashangaza mtu msanii mwislam why asingefanya idea ya mazishi ya dini yake ?
Mkuu nahisi kidogo utakuwa na funza kwenye ubongo.68% ya Watanzania ni Waislamu.
Ukiunganisha na visiwani namba inapanda hadi 73%.
Wakristo ni minority katika nchi yetu. Tunapowakosea ni vizuri kuwaomba radhi kama hivi, wasijisikie unyonge!
Dar majority Waislamu.
Pwani ndio kabisaaaa.
Lindi, Mtwara huko kote wamejaa Waislamu.
Tanga kunani pale wamejaa wao.
Tabora, Singida misikiti kila kona.
Mikoa pekee yenye majority Wakristo ni Kagera, Kilimanjaro, Rukwa na Iringa.
Una kichaa?68% ya Watanzania ni Waislamu.
Ukiunganisha na visiwani namba inapanda hadi 73%.
Wakristo ni minority katika nchi yetu. Tunapowakosea ni vizuri kuwaomba radhi kama hivi, wasijisikie unyonge!
Dar majority Waislamu.
Pwani ndio kabisaaaa.
Lindi, Mtwara huko kote wamejaa Waislamu.
Tanga kunani pale wamejaa wao.
Tabora, Singida misikiti kila kona.
Mikoa pekee yenye majority Wakristo ni Kagera, Kilimanjaro, Rukwa na Iringa.
Basi utakuwa unaota ndoto ya mchana68% ya Watanzania ni Waislamu.
Ukiunganisha na visiwani namba inapanda hadi 73%.
Wakristo ni minority katika nchi yetu. Tunapowakosea ni vizuri kuwaomba radhi kama hivi, wasijisikie unyonge!
Dar majority Waislamu.
Pwani ndio kabisaaaa.
Lindi, Mtwara huko kote wamejaa Waislamu.
Tanga kunani pale wamejaa wao.
Tabora, Singida misikiti kila kona.
Mikoa pekee yenye majority Wakristo ni Kagera, Kilimanjaro, Rukwa na Iringa.
Mkuu ukileta ujinga kama huu mbele ya jamii unaweza kuonekana huna akili68% ya Watanzania ni Waislamu.
Ukiunganisha na visiwani namba inapanda hadi 73%.
Wakristo ni minority katika nchi yetu. Tunapowakosea ni vizuri kuwaomba radhi kama hivi, wasijisikie unyonge!
Dar majority Waislamu.
Pwani ndio kabisaaaa.
Lindi, Mtwara huko kote wamejaa Waislamu.
Tanga kunani pale wamejaa wao.
Tabora, Singida misikiti kila kona.
Mikoa pekee yenye majority Wakristo ni Kagera, Kilimanjaro, Rukwa na Iringa.
mhh mbeya,mwanza,arusha,shinyanga,simiyu,mara,ruvuma,katavi,geita,njombe,manyara majority ipoje kwenye haya maeneo68% ya Watanzania ni Waislamu.
Ukiunganisha na visiwani namba inapanda hadi 73%.
Wakristo ni minority katika nchi yetu. Tunapowakosea ni vizuri kuwaomba radhi kama hivi, wasijisikie unyonge!
Dar majority Waislamu.
Pwani ndio kabisaaaa.
Lindi, Mtwara huko kote wamejaa Waislamu.
Tanga kunani pale wamejaa wao.
Tabora, Singida misikiti kila kona.
Mikoa pekee yenye majority Wakristo ni Kagera, Kilimanjaro, Rukwa na Iringa.
Tena wangepagawa na mapepo ya kina Makata, Maimuna, Kisimba, n.k. Amani ya nchi hii kwa upande wa imani za kidini inabebwa na ukristo laiti kama wakristo wangekuwa arrogant kwa issue za kidini kama upande wa pili nadhani nchi hii ingekuwa na misukosuko mingi ya kidini.Ni chokochoko tu. Angefanya hayo maigizo mkristo kwa kutumia maudhui ya dini yao, kesho yake ungesikia matamko ya vitisho zaidi ya 200!
dodoma waislamu wapo kondoa pekee, songwe acha udini Mkuu mwambie samia aruhusu sensa tujumuishe na dini ili tujue idadi sahihimhh mbeya,mwanza,arusha,shinyanga,simiyu,mara,ruvuma,katavi,geita,njombe,manyara majority ipoje kwenye haya maeneo
sheikh wapi kwenye Quran imekatazwa usile kitimoto.
hahaha hawa jamaa huwa wanajifanya wapo wengi lakin mark maneno yangu tupo 60m iv nchi nzima but hawazid 20m na mikoa dominant kwao ni tanga,mtwara,lindi,singida,tabora,pwani na kigoma na zanzibar na hizi ndio sehemu waarabu walifikia na kuishi na dar sina hakika sana mwingiliano ni mkubwaBasi utakuwa unaota ndoto ya mchana