Tundaman Kuingia na Jeneza, Simba SC yaomba Radhi

Tundaman Kuingia na Jeneza, Simba SC yaomba Radhi

Connection ni ile kanzu pamoja, msalaba n kama sikosei alibeba kitu kama Bible
Haya matukio yameshafanywa sana na Yanga na ccm lakini sijawahi kuona yakikemewa.... Sasa leo najaribu kujiuliza kama jeneza limekuwa alama ya imani fulani
Na kuhusu msalaba kuna umbumbumbu mkubwa sana kwenye hili kwakuwa misalaba ni mingi lakini msalaba unaowakilisha Ukristo ni tofauti na mingine ambapo juu ni kufupi kuliko chini chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaweza sema zamani watu walikuw hawafatilii sana kama kipindi cha sasahv
 
Ni jambo zuri ila sioni kosa la kiwango cha kuomba radhi
Wewe siyo mfia dini, Kwahiyo ni ngumu kwako kupata hisia waliyopata hao wanaopenda vifaa na ishara zao zitumike katika malengo ya kidini yaliyokusudiwa.
KIFUPI: Tusitengeneze maigizo yanayokera Imani za watu( tusichukulie poa Imani za watu wengine, Kwasababu zinamaumivu kwa wahusika).
 
Yanga pia tuwaombe radhi, kuwaigiza wamekufa haikuwa sawa ukizingatia hawakuwa sehemu ya sherehe zile. Hivi haya mavilabu hayawezi kufanya shughuli yake ikakamilika bila kumtaja mtani tena kwa namna ya kumdharau na kumteta?
 
Kumbe huyo tunda ni muislam si angeingia na kanzu na kibaragashia,na lile la kubebea maiti la kiislam. Usimtendee mwenzako jambo ambalo haupendi kutendewa.
Nafurahi sasa wakristo wameamka, dini sio kitu cha kuchezea chezea
 
Back
Top Bottom