Tundaman Kuingia na Jeneza, Simba SC yaomba Radhi

Tundaman Kuingia na Jeneza, Simba SC yaomba Radhi

Wakiristo wa nchi hii wanapenda sana kulalama kama watoto...kwa zunchu wakalalama na hili nalo kwel...
kuna askof alidhihaki hijab ya rais lakin waislam wakawa kimya tu..
 
Wakiristo wa nchi hii wanapenda sana kulalama kama watoto...kwa zunchu wakalalama na hili nalo kwel...
kuna askof alidhihaki hijab ya rais lakin waislam wakawa kimya tu..
Acha mambo ya imani za watu utaumia kichwa maana ukiletewa mliyofanya n nyinyi itakuwa vita hapa, amini unacho amini
 
Eti msalaba na jeneza Pamoja na joho la kasisi [emoji849]
Ha ha ha ni vichekesho sasa hivyo ukristo umeathirika vipi mambo mengine hao wanaokwazwa ni kutafuta sifa tu kwa watu sasa joho kweli vipi ambao joho siyo sehemu ya mavazi yao au msalaba labda wangesema wamekwaza dhehebu lao siyo ukristo in general
 
Screenshot_20220811-082849.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mngekuwa ni wengi kiasi hiki, basi wale wanazuoni wenu uchwara wasingetoa matamko ya kutaka usawa kwenye taasisi mbalimbali za kiuongozi na kiutawala nchini.
Kwanza ingekuwa kama anavyosema hii nchi ingekuwa ishabadilishwa kuwa Dola la kiislam
 
Huu uzi una wapumbavu wengi watu mnakazana kutoleana mapovu na wakati milango ya makanisa na misikiti mara ya mwisho kuingia ni mlipokuwa na miaka mitatu kusali hamsali kazi kubishania kiki za wajinga wachache .

Tafuteni cha kufanya acheni kupotezeana nguvu wapumbavu wakubwa.
Dogo punguza stress. Utakufa kabla ya wakati wako.
 
Huu uzi una wapumbavu wengi watu mnakazana kutoleana mapovu na wakati milango ya makanisa na misikiti mara ya mwisho kuingia ni mlipokuwa na miaka mitatu kusali hamsali kazi kubishania kiki za wajinga wachache .

Tafuteni cha kufanya acheni kupotezeana nguvu wapumbavu wakubwa.
Kinachoendelea kwenye uzi huu ni ushabiki wa kipumbavu wa Utopolo,wamejificha kwenye mwavuli wa dini ili wapate uungwaji mkono. Ni upumbavu tu unaoendelea.
 
Hata tukio lilipotokea kipindi kile, watu walipaza sauti zao kukemea huu ujinga! Na nyinyi makada wa Chadema mlikuwa mstari wa mbele kabisa kulaani hili tukio!

Ila leo kwa sababu kafanya shabiki mwenzenu wa simba, mnajifanya hamuoni tatizo.
Na hii hapa hawa ni washabiki wa Simba?
 
Attachments

  • FB_IMG_1660058850277.jpg
    FB_IMG_1660058850277.jpg
    41.8 KB · Views: 2
Na hii hapa hawa ni washabiki wa Simba?
Kwa hiyo unataka nikusaidie nini? Mimi sina utaratibu wa kusifia mambo ya kijinga. Hivyo hata hao wajinga ulio waweka hapo nao siwaungi mkono.

Mpira ni burudani! Hivyo hakuna sababu ya kuingia na majeneza, misalaba, nyungo, mahotpot ya wali, maigizo ya kipuuzi, kutukanana matusi, nk.
 
Kama mngekuwa ni wengi kiasi hiki, basi wale wanazuoni wenu uchwara wasingetoa matamko ya kutaka usawa kwenye taasisi mbalimbali za kiuongozi na kiutawala nchini.
Mnaona sasa ushabiki oya oya ulivyotuhamisha hadi kwenye malumbano ya kidini. Huu mjadala hauna afya kabisa
 
Wakiristo wa nchi hii wanapenda sana kulalama kama watoto...kwa zunchu wakalalama na hili nalo kwel...
kuna askof alidhihaki hijab ya rais lakin waislam wakawa kimya tu..
Usijumuishe wakristo wote Kwa ushabiki wa kipumbavu wa maaskofu michongo wawili washabiki wa Yanga. Kilaini alihusika kula hela ya escrow na Gwajima alimtukana Cardinal Pengo na kushiriki kujirekodi video ya ngono akimtafuna muumini wake,hivyo hao maaskofu michongo hawana moral authority ya kukemea lolote zaidi ya kuendekeza ushabiki wao wa Utopolo. Uondoe huu mjadala katika mtazamo wa kidini na ndiyo maana unaona uko kwenye jukwaa la sports.
 
Back
Top Bottom