Tundu A. Lissu amekata tamaa ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ataendelea kuwa Mwanaharakati Machachari wa Tanzania

Sasa wewe mbona unatukana sasa? Lissu amechaguliwa kuwa balozi wa Mashoga Afrika ya Kusini na hajawahi kanusha na barua ya kuchaguliwa kwake ililetwa humu JF. Sasa wewe kwanini unamsemea wakati yeye hajawahi kukanusha?
 
Utatangulia wewe.
Mungu mkubwa.Nakuonya acha huu ujinga,Mungu mnamuudhi.
 
Lisu keshajikatia tamaa.hana la kupoteza kawa kama mwehu ndomana haogop kutukana na ana hasira na wa Tz sabab kaona mbaya wake anapendwa sanaaaa

Abak huko huko akina huku nitakua wa kwanza kumtupia mayai visa pale airport
 
Halafu mtu kama huyu anaachwa bila hata ban !!. Moderator
 
Umeagana na Mungu?.alafu unavyoandika kana kwamba mh rais kafa kwa kupigwa risasi na Lisu na bahati mbaya kwako kabla ujatimiza lengo lako utakuwa nyama ya udongo.
 
Yawezekana lisu anazichanga karata zake vibaya wakati huu, anajipotezea yeye na chadema wafuasi na wapenzi wa chama,
Kwa njia aliyoichagua Lisu kwasasa na namwambia tu APAMBANE NA HALI YAKE.
Kama mlivyozichanga karata vibaya kwa kumpiga risasi
 
Kwani kuna kilaza yoyote alietarajia, Lissu awe Rais?

MKUU Haya majitu hata yalimkasirikia MUNGU kwa kumponya LISU
 

matakwa ya wananchi yapo chadema peke yake!!!,mnaumwa nini nyinyi??
 
matakwa ya wananchi yapo chadema peke yake!!!,mnaumwa nini nyinyi??
Tumeshajidhihirisha kuwa CCM kamwe haitasikiliza Matakwa ya Wananchi bali wanasikiliza ya WanaCCM wenzao sisi Chadema tunasikiliza matakwa ya Wananchi wote
 
Sijaona sababu ya mtu huyu kupigwa ban!
Hivi pro Lissu akisema atabeba silaha ampige kiongozi yeyote hasa wa CCM . Je ataachwa na vyombo vya dola na vya maamuzi aende anatamba ?! Kama huyu limbukeni wa madaraka
 
Huyu mdudu ni wa kumsamehe tu ndugu zanguni.
Inasemekana ubongo wake ulisha crack kwa hiyo yawezekana hata yeye hajitambui.
Kwa kifupi, huyu mtu ana SHIDA kichwani.
Mimi sijawahi kuona wala kusikia mtu anatamka maneno machafu na ya kejeli dhidi ya Maiti. Kwa mara ya kwanza nimesikia kwa hawa wadudu wawili. Mungu awasamehe watu hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…