Tundu A. Lissu amekata tamaa ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ataendelea kuwa Mwanaharakati Machachari wa Tanzania

Nilikuwa namheshimu Sana lisu hata 2020 nilimpa kura lakn kwa ubwabwajaji wake wakutokuwa na subra juu ya msiba

Amenikatisha tamaa saana
 
Lisu keshajikatia tamaa.hana la kupoteza kawa kama mwehu ndomana haogop kutukana na ana hasira na wa Tz sabab kaona mbaya wake anapendwa sanaaaa

Abak huko huko akina huku nitakua wa kwanza kumtupia mayai visa pale airport
Lisu ana hasira na watanzania?.
 
Hata Musiba alisema hivyo akashindwa sembuse wewe mwenye kujificha kwenye ID fake.
By the way ulishindwa nini wakati aliporejea, au unafurahisha Wana Jf.

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Vita ya Lissu na Magufuli matokeo ni Lissu yu hai Magu is Dead na bado Mataga wanatembeza mifupa Mwanza

Vita ya Lissu na Mataga ndio kwaaza imeanza na wala haitachukua raundi Lissu anaibuka kidedea
Mungu akupe uhai ujionee mwenywe na wasikupige BAN TU
 
Tumeshajidhihirisha kuwa CCM kamwe haitasikiliza Matakwa ya Wananchi bali wanasikiliza ya WanaCCM wenzao sisi Chadema tunasikiliza matakwa ya Wananchi wote
Chedema ni saccoss iliyochangamka!! 🤣🤣 kwa mbaali unaweza kufikiri ni chama cha siasa
 
Chedema ni saccoss iliyochangamka!! 🤣🤣 kwa mbaali unaweza kufikiri ni chama cha siasa
Tume HURU ndio utaelewa Chadema ni nini
Sijui kama utaendelea kucheka
 
lazima tumuondoe
Wewe na nani? Sikiliza Dogo tuache tuendeleze Party wewe kama umeumia sana kwa sababu Raisi alikuwa Kabila lako nenda Gambosh ukamroge Lissu
 
Huyu alieandika hili bandiko sinahakika kama ametafakali vyema & akili imeshindwa kufanya kazi , tuache lisu ambae yaliyomkuta yanafahamika, unazani kabendela ,mke wa azoly hawa unazani watasema nn juu ya jiwe?ingawa ame danji watachinja kuku na kupika wali nazi na ndizi za morogoro wale kibalazani & tuache unafiki kila mmoja aomboleze kwa namna alivyoguswa
 
Let us be honest ,

Lisu awe Rais wa nani sasa..?
 
Utakufa kabla hujatimiza adhima yako mbwa wewe. Ila haya yote kayaleta jiwe,alipandikiza chuki baina yetu akatengeneza genge baya sana ambalo karibia liwe sawa na lile la Rwanda Interahamwe ndo tulikuwa tunaelea huko. All in all hatutafika huko Mungu anatupenda. Nashauri yawepo maridhiano. Mimi nayasema haya siyo mwanachama wa chama chochote ila ni mpenda haki, Hayati Magufuli nilimpenda sana kwa utendaji kazi wake na usimamizi ila kwa upande wa haki hasa Demokrasia aliniumiza sana pia.
 
Kwa akili mbovu za mtu kama lissu bora ccm itutawale tu milele.Nilikuwa namkubali tundu lissu lakini sasa namuona kama hayawani
 
Kwa akili mbovu za mtu kama lissu bora ccm itutawale tu milele.Nilikuwa namkubali tundu lissu lakini sasa namuona kama hayawani
Akili nzuri kwako ni zile za wale waliosema yupo ofisini anapiga kazi.
 
Eti siku Tanzania ije kuongozwa na mtu kama huyo??

Kama maiti tu ameshindwa kuiheshimu, si atafukia hata watu migodini kisa anataka kuwapa wazungu migodi yetu!!
Akili za nyumbu tu hizo, kupambana na maiti ni uwendawazimu naona Wana SACCOS mnapambana na hayati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…