Tundu A. Lissu amekata tamaa ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ataendelea kuwa Mwanaharakati Machachari wa Tanzania

Najua umetumwa ila rudisha majibu kwa waliokutuma kwama Herode alipokufa Yesu alirudi nchini mwake.
 
Omba ushauri kwenye kaburi la Tingatinga.
 
Tunachotaka tuione Tanzania kama Ulaya na Arusha kama Karufonyia kama mlivyotuahidi.
 
Ccm ingekuwa na intelijensia waziri mkuu angemtetea marehemu kuwa yuko hai wakati aishakata moto?
Mimi najua nimapema hamjajua kuwa Lissu ni mshindi subiri kidogo marehemu wenu atarudi.
 
Lisu ni chizi, zile risasi zilupunguza IQ kichwani
 
Rangi zake halisi zinazidi kuonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…