Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

Harakati za LISSU alianza zamani sana na ndie alieshinikiza serikali kuheshimu mchango wa wachimbaji wadogo huko GEITA na hadi leo matunda yake yanaonekana.

Lissu ni zaidi ya kiongozi makini ndio maana hata JK alisema wakati wa kampeni ni bora DK. SLAA awe Raisi kuliko Lisuu kwenda mjengoni/ bungeni kwani alijua balaa la Lisu
 
Yaani Mzee Mrema siku hizo alitisha sana, ila siku hizi kashaingia line, amebaki kufukuzia mafao yake
Mwenyewe alishasema njaa haina adabu! Kwa sasa anamtumikia kafiri ili apate 'mkate' wake. Chezea njaa wewe?
 
he is intelligent,,intellectual,,patriot,,and a great man live long Tundu A.lissu God bless you
 
huyu jamaa ametoka mbali sana ni kichwa sana na ameanza kuwatetea wanyonge long time
 
Mara ya kwanza kugombea Ubunge alikuwa na Tsh 15'000/- tu mfukoni mwake.....
 
I SALUTE TUNDU LISSU. ULIMPGANIA SANA BROTHER CHACHA KIPINDI KILE.DEUS MALYA AKAENDESHA GARI VIBAYA IKATOKEA AJALI NA CHACHA is NO MORE.
 
I SALUTE TUNDU LISSU. ULIMPGANIA SANA BROTHER CHACHA KIPINDI KILE.DEUS MALYA AKAENDESHA GARI VIBAYA IKATOKEA AJALI NA CHACHA is NO MORE.

deus malya aje kutueleza kisa hiki. mbona tundu lisu hakuzungumzia alivyougua kichaa akapelekwa milembe?
 
Big up tundu lisu we ni mtetezi haswa..
Keep that spirit wapo wengi sana ambao bado wananyanyasika hivii hapa bongo.
 
nimegundua kwa nini Lisu huwa anampondaga nyerere kupitiliza. kumbe historia. moja ya hilo ni serikali kuwabomolea nyumba na kuwaacha bila makazi.
 
Back
Top Bottom