ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Atakayepingana na Maono haya no dhahiri anapingana na Allah, Muumba wa Vitu Vyote. Sifa za Rais wetu mpya
1. Mpenda Haki - Anahakikisha Kuna uhuru wa mawazo, maoni, Mahakama kuwa Huru, Polisi kutenda Haki,
2. Kufuta Kabisa Uchawa- Rais huyu mpya atafuta uchawa na kusifia Kila kitu na mtu mwenye madaraka. Kitu ambacho kinaitafuna Jamii yetu ya Tanzania Kwa Sasa.
3. Kuondoa Rushwa - matumizi makubwa ya Fedha za umma kutoa Rushwa ya vyeo Kwa watu wote wakiwemo wasanii imeharibu Jamii yetu kabisa.
4. Kuchagua Viongozi Bora - sio viongozi tu Kwa sababu zisizo eleweka, Rais Lissu ni mtu Mwema na Ni mtu alieletwa na Mungu kuikomboa Tanzania.
Kwakuwa Serikali ya chama tawala wamekita mizizi yao Kila sehemu, na mada kama hizi huwachukiza, ila naamini Mungu ataonesha Makuu yake Ifikapo mwisho mwa mwaka huu. Kwa mara ya Kwanza Upinzani utaongoza nchi. Maisha yataendelea, ila top level ya juu ya serikali itakuwa na watu wengine tofauti, na si kutoka Mbinguni au Rwanda Bali ni hapa hapa Tanzania na wengine ndani ya serikali hii hii.