Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
uko sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Muhimu sanaPlease endapo kama ndoto hii itatimia(na ninaombea sana itokee) kwenye serikali yake Lisu Tunataka aanzishe wizara ya ufanisi wa serikali ni muhimu sana.
Serikali hii ya sasa hivi ya ccm imerudisha watumishi hewa kibao na kuna matumizi mengi sana ya ajabu ajabu ya kodi za wanainchi.
Sawa sawa, Lissu namfananisha na Lazarus Chakwera wa Malawi, Malawi imekuwa tamu sana.Please endapo kama ndoto hii itatimia(na ninaombea sana itokee) kwenye serikali yake Lisu Tunataka aanzishe wizara ya ufanisi wa serikali ni muhimu sana.
Serikali hii ya sasa hivi ya ccm imerudisha watumishi hewa kibao na kuna matumizi mengi sana ya ajabu ajabu ya kodi za wanainchi.
Aisee yule mwamba sana, acheki kabisa na wabadhirifu wa pesa za umma wala haogopi mtu. Na tunahitaji raisi wa namna hiyo, sio mnakaa mnaongozwa na mtu anayefuga machawa na mafisadi huku taifa likiteketea yeye hana la kufanyaSawa sawa, Lissu namfananisha na Lazarus Chakwera wa Malawi, Malawi imekuwa tamu sana.
3. Kuondoa Rushwa - matumizi makubwa ya Fedha za umma kutoa Rushwa ya vyeo Kwa watu wote wakiwemo wasanii imeharibu Jamii yetu kabisa.
BwahahahahaaaaaaAtakayepingana na Maono haya no dhahiri anapingana na Allah, Muumba wa Vitu Vyote. Sifa za Rais wetu mpya
1. Mpenda Haki - Anahakikisha Kuna uhuru wa mawazo, maoni, Mahakama kuwa Huru, Polisi kutenda Haki,
2. Kufuta Kabisa Uchawa- Rais huyu mpya atafuta uchawa na kusifia Kila kitu na mtu mwenye madaraka. Kitu ambacho kinaitafuna Jamii yetu ya Tanzania Kwa Sasa.
3. Kuondoa Rushwa - matumizi makubwa ya Fedha za umma kutoa Rushwa ya vyeo Kwa watu wote wakiwemo wasanii imeharibu Jamii yetu kabisa.
4. Kuchagua Viongozi Bora - sio viongozi tu Kwa sababu zisizo eleweka, Rais Lissu ni mtu Mwema na Ni mtu alieletwa na Mungu kuikomboa Tanzania.
Kwakuwa Serikali ya chama tawala wamekita mizizi yao Kila sehemu, na mada kama hizi huwachukiza, ila naamini Mungu ataonesha Makuu yake Ifikapo mwisho mwa mwaka huu. Kwa mara ya Kwanza Upinzani utaongoza nchi. Maisha yataendelea, ila top level ya juu ya serikali itakuwa na watu wengine tofauti, na si kutoka Mbinguni au Rwanda Bali ni hapa hapa Tanzania na wengine ndani ya serikali hii hii.
Kwani Lissu anagombea uenyekiti wa kitongoji?Unaota. Kuna maeneo hata wagombea wa serikali za mitaa hamkuweka na waliowekwa wakakosa mawakala huo ushindi mnaupataje?
Ukweli uko mbele ya pua yako....
Tanzania tayari naongozwa na MWANAMKE...hiyo Tanzania yako ya ndotoni iko sayari gani?!!
MISOGYNYIST mkubwa wewe
Mkuu, unachofikiri hakiwezekani ndicho huwezekana kiulaini . Ondoa hofu.Hili liko wazi, lakini, je CCM watakubali kushindwa kirahisi?
Hata marekani Kuna Rushwa ila sio kama huku kwetu, Lissu akiingia atapunguza Rushwa na atayafunua madudu mengi ya CCMlisu ni mmoja wa waliohongwa na kowasa 2015 kupata ugombea urais, anaweza kushinda urais, lakini hana ubavu wa kuondoa rushwa nchini.