Pre GE2025 Tundu Antipas Lissu, Rais Tanzania 2025-2035, Mungu Hapingwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
 
CCM ipo kila ulipo all the time (omn present), it's not practical to defeat CCM, kama presence ya upinzani ni wakati wa mchakato wa uchaguzi tu.
Kiuhalisia CCM IPO Kila Kona, na Lissu anafahamika Kila Kona. Halaf Nimegundua Watanzania wanajua makosa ya serikali , pia Nimegundua Watanzania wengi ambao ni wapiga kura ni Neutral hawana chama, wakiitwa mikutano ya ccm wanaenda ya Chadema wanaenda.

CCM mwaka huu lazma waachie nchi
 
AMEN, kubwa!!
 
Upo sahihi ila mfumo wata asisi uko upande mmoja, hapo ndio tatizo lilipo
 
Mwaka huu, uchaguzi ukifanyika ,hakuna wa kuzuia kimbunga cha chadema kwenda ikulu ccm itake isitake, vimbelembele wa kuaribu uchaguzi wajiandae,

Kama unajua upo kwenye mfumo flani wa kuibeba ccm anza kujifunza kingereza vizuri ICC inakuita kwa kasi sana.

Mawakili wenye uzoefu na kesi za kimatifa anzeni kujinoa tena , mtapanda ndege sana.

Mwaka Mgum sana kwa ccm, watashindwa vibaya sana, na hawatakubali na ndo matatizo yatakapo anzia
 
Usimuingize Mungu kwenye dhuluma
 
Nimesikia Za Chini chini Umoja wa Ulaya na Marekani watatuma wawakilishi kwenye vituo vyote 12,345 vya kupiga kura, kuwa kama waangalizi
 
Hahahahahahaaaaaa!
Nyumbu wakishiba kababu bwana, wanachekeesha kweli kweli!!
Hhahahahaaaaaaaaa
 
LISSU for presidency
 
Miaka 50 ni mingi sana hao wana mizizi iliokomaa haswa kuing'oa ni ngumu sana labda mungu awe na mipango yake
 

It will never happen, wapinzani collectively wako busy na internal conflicts, progressively wana DERAIL from their strategy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…