Pre GE2025 Tundu Antipas Lissu, Rais Tanzania 2025-2035, Mungu Hapingwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama Lissu atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025/2030 basi natamka ya kwamba mimi Mtoto wa Shule kuanzia 2025/2030 Lissu atakapokuwa Rais nitakuwa SHOGA kutekeleza sera ya Rais Lissu!!
 
Hapa CCM na Polisi watapigana usiku na mchana kulinda rushwa ya CCM, hawa Polisi wetu ni tabula rasa (baadhi sio wotei
Hao tabula rasa ni wote.
Kama wewe ni "ke" upo choo cha kiume na wewe umepotea ukijua ni choo cha kike, si unatoka fasta!!??
 
Kama Lissu atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025/2030 basi natamka ya kwamba mimi Mtoto wa Shule kuanzia 2025/2030 Lissu atakapokuwa Rais nitakuwa SHOGA kutekeleza sera ya Rais Lissu!!
Lissu na ushoga wapi na wapi!!?
Ushoga upo CCM.
 
Shida unafikiri kura Yako utakayompigia Samia basi wote tutampigia hamna hiko kitu, we kampe Samia, Mimi na familia yangu Lissu
 
Lissu na ushoga wapi na wapi!!?
Ushoga upo CCM.
Ahahahahaha! Unampenda Lissu lakini hufuatilii kwenye mahojiano yake anayofanya na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi. Ahahahahaha!!

Kwa kifupi Lissu ni MFUASI WA LGBTQ pro!
 
Shida unafikiri kura Yako utakayompigia Samia basi wote tutampigia hamna hiko kitu, we kampe Samia, Mimi na familia yangu Lissu
Hapo umekosea. Kila mwana familia wako ana haki yake ya kumpigia kura anayemtaka. Lakini, ukifikiri watampigia unayemtaka wewe, basi jua unaishi kwenye Karne ya ya kumi na sita! Ahahahahaha!!!
 
Utabiri koko....

Babu yangu mtabiri maarufu ameniambia kuwa "Saatu Khabar" zinaonyesha kuwa UTAWALA BADO NI WA MWANAMKE mpaka hapo "ubuluu wa anga" utakapoondoka 2030.....

Babu kakwambia hivyo ila Tanzania haipo tayari kuongozwa na Mwanamke kwa kupigiwa kura. Ukweli mchungu subiri suprises.
 
Ahahahahaha! Unampenda Lissu lakini hufuatilii kwenye mahojiano yake anayofanya na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi. Ahahahahaha!!

Kwa kifupi Lissu ni MFUASI WA LGBTQ pro!
Kuna tofauti ya kuwa mtetezi wa uvunjifu wa haki na kuwa muunga mkono wa uvunjifu wa uasilia dada.
 
Hata hujui umeandika nini. Na kama mimi ni dada, mtume mkeo au bintiyo aje anitembelee wikiendi hii! Ahahahahaha!!
 
Mtoto wa shule atabaki kuwa mtoto wa shule, tena shule za "St. Kayumba"!!

Mimi nimeachwa kuitwa mtoto wa shule mwaka 1990, wewe ulikuwa umezaliwa kweli Mtoto wa Shule !!???
 
Mwaka huo wa 1990 nilikuwa form one Kahororo Secondary School. Mkuu wangu wa Shule akiitwa Theodore Ishengoma a.k.a " ENSHOBYO"!!
Pia alikuwepo Mwl. Kabyemela a.k.a. "Enkura", Mwl. Agricola, ahahahahaha!!! Niendelee??
 
Babu kakwambia hivyo ila Tanzania haipo tayari kuongozwa na Mwanamke kwa kupigiwa kura. Ukweli mchungu subiri suprises.
Ukweli uko mbele ya pua yako....

Tanzania tayari naongozwa na MWANAMKE...hiyo Tanzania yako ya ndotoni iko sayari gani?!!

MISOGYNYIST mkubwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…