Uchaguzi 2020 Tundu Antiphas Lissu ni yule yule wa juzi, wa jana na wa leo na katu hajabadilika na hatabadilika

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,413
Reaction score
23,592

Hakuanza leo, alianza akiwa shule na aliendelea hivyo hivyo kabla ya kuwa Mbunge, aliendelea hivyo hivyo baada ya kuwa Mbunge na anaendelea hivyo hivyo baada ya kuporwa ubunge kwa hila.

Hakuanza leo...alianza akiwa mzima wa afya, aliendelea hivyo akiuguza majeraha yaliyotokana na kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na anaendelea hivyo hivyo pamoja na mwili kujaa makovu ya risasi.

Hakuanza leo...alianza akiwa kijana na aliendelea hivyo akiwa mwanasheria mdogo, aliendela hivyo hivyo akiwa Rais wa Wanasheria na leo anaendelea hivyo hivyo akigombea urais wa Tanzania!

Ndugu zangu Watanzania, tukimwacha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ni mgombea gani wa Urais aliyekuwa na historia kama ya Mh. Tundu Antiphas Lissu? Ni mgombea gani alipitia heka heka alizopitia Mh. Tundu Antiphas Lissu mikononi wa utawala kandamizi unaotumia vyombo ya dola kunyamazisha upinzani?

Ndugu zangu Watanzania, hebu tujikumbushe na kujiuliza:
  • Ni mgombea gani mwenye jeuri ya kusimama mbele ya wananchi na kuwaahidi uhuru na usalama wao kama katika utawala wake wananchi hao waliishi kwa hofu?​
  • Ni mgombea gani mwenye jeuri ya kusimama mbele ya wananchi na kuwaahidi haki na usawa kama wakati akiwa madarakani wananchi waliporwa hovyo mali zao?​
  • Ni mgombea gani mwenye jeuri ya kusimama mbele ya wananchi na kuwaahidi umoja na mshikamano kama wakati wake wananchi walibaguliwa kiitikadi, kikanda na kikabila?​
Ndugu zangu Watanzania, majibu ya maswali hayo bila shaka yoyote mnayo kwani ni ya wazi kabisa na kwa miaka minne tumeshuhudia na kuvumilia mateso na manyanyaso yasiyo na kipimo. Hivyo mgombea mwenye sifa kama hizo hatufai.

Pamoja na hayo kumbukeni...

Mh. Tundu Antiphas Lissu hasimulii aliyosikia kuwakuta waliotumia uhuru wao wa kidemokrasia kuwakosoa walioko madarakani, hapana, anasimulia yaliyomkuta yeye katika harakati za kutetea uhuru, usawa, haki na utawala unaoheshimu sheria.

Mh. Tundu Antiphas Lissu hasimulii aliyosikia kuwakuta waliothubutu kupinga utawala huu jinsi walivyotekwa, kuteswa na kupotezwa, hapana, anasimulia yaliyomtokea yeye mikononi vyombo rasmi vya dola na visivyo rasmi vinavyodaiwa kutojulikana.

Huyo ndiye Mh. Tundu Antiphas Lissu yule yule wa siku zote...NI YEYE!
 
# NI YEYE!

NI YEYE!.jpg

Watabanaaa...wataachia!​
 
Hakuanza leo, alianza akiwa shule na aliendelea hivyo hivyo kabla ya kuwa Mbunge, aliendelea hivyo hivyo baada ya kuwa Mbunge na anaendelea hivyo hivyo baada ya kuporwa ubunge kwa hila.

Hakuanza leo...alianza akiwa mzima wa afya, aliendelea hivyo akiuguza majeraha yaliyotokana na kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na anaendelea hivyo hivyo pamoja na mwili kujaa makovu ya risasi.

Hakuanza leo...alianza akiwa kijana na aliendelea hivyo akiwa mwanasheria mdogo, aliendela hivyo hivyo akiwa Rais wa Wanasheria na leo anaendelea hivyo hivyo akigombea urais wa Tanzania.

Ndugu zangu Watanzania, tukimwacha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ni mgombea gani wa Urais aliyekuwa na historia kama ya Mh. Tundu Antiphas Lissu? Ni mgombea gani alipitia heka heka alizopitia Mh. Tundu Antiphas Lissu mikononi wa utawala kandamizi unaotumia vyombo ya dola kunyamazisha upinzani?

Ndugu zangu Watanzania, hebu tujikumbushe na kujiuliza:
  • Ni mgombea gani mwenye jeuri ya kusimama mbele ya wananchi na kuwaahidi uhuru na usalama wao kama katika utawala wake wananchi hao waliishi kwa hofu?​
  • Ni mgombea gani mwenye jeuri ya kusimama mbele ya wananchi na kuwaahidi haki na usawa kama wakati akiwa madarakani wananchi waliporwa hovyo mali zao?​
  • Ni mgombea gani mwenye jeuri ya kusimama mbele ya wananchi na kuwaahidi umoja na mshikamano kama wakati wake wananchi walibaguliwa kikanda na kikabila?​
Ndugu zangu Watanzania, majibu ya maswali hayo bila shaka yoyote mnayo kwani ni ya wazi kabisa na kwa miaka minne tumeshuhudia na kuvumilia mateso na manyanyaso yasiyo na kipimo. Hivyo mgombea mwenye sifa kama hizo hatufai.

Pamoja na hayo kumbukeni...

Mh. Tundu Antiphas Lissu hasimulii aliyosikia kuwakuta waliotumia uhuru wao wa kidemokrasia kuwakosoa walioko madarakani, hapana, anasimulia yaliyomkuta yeye katika harakati za kutetea uhuru, usawa, haki na utawala unaoheshimu sheria.

Mh. Tundu Antiphas Lissu hasimulii aliyosikia kuwakuta waliothubutu kupinga utawala huu jinsi walivyotekwa, kuteswa na kupotezwa, hapana, anasimulia yaliyomtokea yeye mikononi vyombo rasmi vya dola na visivyo rasmi vinavyodaiwa kutojulikana.

Huyo ndiye Mh. Tundu Antiphas Lissu yule yule wa siku zote...NI YEYE!

he's our man!
 
Kuna bwana mmoja baada tu ya kupata mamlaka fulani, moja ya vitu vya kwanza alivyofanya ni kumuita Bw. Reginald Mengi aende ofisini kwake.

Mengi aliitikia wito, ila kilichotokea ni kwamba mzee wa watu alikalishwa pale ‘holding room’ masaa mengi akimsubiri bwana yule.

Bwana yule alipotoka, akamwambia, “Nilitaka tu kukuonyesha kuwa ni nyakati zangu sasa inabidi ulitambue hilo”. Hii ni nukuhu isiyo rasmi ila ilikuwa inaendana na maudhui hayo.

True story.
 
Hiyo ni kawaida sana ya washamba na limbukeni...wahenga walisema masikini hapati akipata matako hulia mbwata!
 
Hakuanza leo, alianza akiwa shule na aliendelea hivyo hivyo kabla ya kuwa Mbunge, aliendelea hivyo hivyo baada ya kuwa Mbunge na anaendelea hivyo hivyo baada ya kuporwa ubunge kwa hila.

Hakuanza leo...alianza akiwa mzima wa afya, aliendelea hivyo akiuguza majeraha yaliyotokana na kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na anaendelea hivyo hivyo pamoja na mwili kujaa makovu ya risasi.

Hakuanza leo...alianza akiwa kijana na aliendelea hivyo akiwa mwanasheria mdogo, aliendela hivyo hivyo akiwa Rais wa Wanasheria na leo anaendelea hivyo hivyo akigombea urais wa Tanzania!

Ndugu zangu Watanzania, tukimwacha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ni mgombea gani wa Urais aliyekuwa na historia kama ya Mh. Tundu Antiphas Lissu? Ni mgombea gani alipitia heka heka alizopitia Mh. Tundu Antiphas Lissu mikononi wa utawala kandamizi unaotumia vyombo ya dola kunyamazisha upinzani?

Ndugu zangu Watanzania, hebu tujikumbushe na kujiuliza:
  • Ni mgombea gani mwenye jeuri ya kusimama mbele ya wananchi na kuwaahidi uhuru na usalama wao kama katika utawala wake wananchi hao waliishi kwa hofu?​
  • Ni mgombea gani mwenye jeuri ya kusimama mbele ya wananchi na kuwaahidi haki na usawa kama wakati akiwa madarakani wananchi waliporwa hovyo mali zao?​
  • Ni mgombea gani mwenye jeuri ya kusimama mbele ya wananchi na kuwaahidi umoja na mshikamano kama wakati wake wananchi walibaguliwa kikanda na kikabila?​
Ndugu zangu Watanzania, majibu ya maswali hayo bila shaka yoyote mnayo kwani ni ya wazi kabisa na kwa miaka minne tumeshuhudia na kuvumilia mateso na manyanyaso yasiyo na kipimo. Hivyo mgombea mwenye sifa kama hizo hatufai.

Pamoja na hayo kumbukeni...

Mh. Tundu Antiphas Lissu hasimulii aliyosikia kuwakuta waliotumia uhuru wao wa kidemokrasia kuwakosoa walioko madarakani, hapana, anasimulia yaliyomkuta yeye katika harakati za kutetea uhuru, usawa, haki na utawala unaoheshimu sheria.

Mh. Tundu Antiphas Lissu hasimulii aliyosikia kuwakuta waliothubutu kupinga utawala huu jinsi walivyotekwa, kuteswa na kupotezwa, hapana, anasimulia yaliyomtokea yeye mikononi vyombo rasmi vya dola na visivyo rasmi vinavyodaiwa kutojulikana.

Huyo ndiye Mh. Tundu Antiphas Lissu yule yule wa siku zote...NI YEYE!

#NiYeYe
 
Hakika matendo ya Mungu ni ya miujiza mikuu sana..........

Kwa kweli katika harakati alizopitia huyu Tundu Lissu, ingelikuwa ni mtu mwingine, angelazimika kuunga mkono Juhudi za Mheshimiwa
 
Acha tu ndugu yangu, hili shati kwenye hii picha ni mojawapo katika vitendo alivyotendewa na vyombo vilivyopaswa kumlinda. Pesa iliposhindwa na akaendelea kusimama imara ikawa hakuna njia bali kuhakikisha hayupo duniani lakini Mungu akaingilia kati!

lisu achaniwa shati.jpg

Fikiria Mh. Mbunge, mwakilishi wa wananchi anatendewa hivi akitetea haki!​
 
Hakuanza leo, alianza akiwa shule na aliendelea hivyo hivyo kabla ya kuwa Mbunge, aliendelea hivyo hivyo baada ya kuwa Mbunge na anaendelea hivyo hivyo baada ya kuporwa ubunge kwa hila.

Hakuanza leo...alianza akiwa mzima wa afya, aliendelea hivyo akiuguza majeraha yaliyotokana na kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na anaendelea hivyo hivyo pamoja na mwili kujaa makovu ya risasi.

Hakuanza leo...alianza akiwa kijana na aliendelea hivyo akiwa mwanasheria mdogo, aliendela hivyo hivyo akiwa Rais wa Wanasheria na leo anaendelea hivyo hivyo akigombea urais wa Tanzania!

Ndugu zangu Watanzania, tukimwacha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ni mgombea gani wa Urais aliyekuwa na historia kama ya Mh. Tundu Antiphas Lissu? Ni mgombea gani alipitia heka heka alizopitia Mh. Tundu Antiphas Lissu mikononi wa utawala kandamizi unaotumia vyombo ya dola kunyamazisha upinzani?

Ndugu zangu Watanzania, hebu tujikumbushe na kujiuliza:
  • Ni mgombea gani mwenye jeuri ya kusimama mbele ya wananchi na kuwaahidi uhuru na usalama wao kama katika utawala wake wananchi hao waliishi kwa hofu?​
  • Ni mgombea gani mwenye jeuri ya kusimama mbele ya wananchi na kuwaahidi haki na usawa kama wakati akiwa madarakani wananchi waliporwa hovyo mali zao?​
  • Ni mgombea gani mwenye jeuri ya kusimama mbele ya wananchi na kuwaahidi umoja na mshikamano kama wakati wake wananchi walibaguliwa kiitikadi, kikanda na kikabila?​
Ndugu zangu Watanzania, majibu ya maswali hayo bila shaka yoyote mnayo kwani ni ya wazi kabisa na kwa miaka minne tumeshuhudia na kuvumilia mateso na manyanyaso yasiyo na kipimo. Hivyo mgombea mwenye sifa kama hizo hatufai.

Pamoja na hayo kumbukeni...

Mh. Tundu Antiphas Lissu hasimulii aliyosikia kuwakuta waliotumia uhuru wao wa kidemokrasia kuwakosoa walioko madarakani, hapana, anasimulia yaliyomkuta yeye katika harakati za kutetea uhuru, usawa, haki na utawala unaoheshimu sheria.

Mh. Tundu Antiphas Lissu hasimulii aliyosikia kuwakuta waliothubutu kupinga utawala huu jinsi walivyotekwa, kuteswa na kupotezwa, hapana, anasimulia yaliyomtokea yeye mikononi vyombo rasmi vya dola na visivyo rasmi vinavyodaiwa kutojulikana.

Huyo ndiye Mh. Tundu Antiphas Lissu yule yule wa siku zote...NI YEYE!
Mpumbavu wewe.
 
Nipo hapa najua kuna goli la mkono tena la kimabavu zaidi ya angalau la miaka iliyopita walipotumia akili, Lakini sijavunjika moyo maana hakunaga mabaya yatayoshinda mazuri daima, Nilishaamua sitapiga kura mwaka huu kwasababu ya uonezi wa wazi kwa wapinzani lakini japo lissu ni myonge ntampa haki yake ya kumpa kura nikijua wazi tutampigia wengi bila kujali matokeo ambayo si ajabu yatakuwa yamepigwa sarakasi.

Tundu Lissu tupo pamoja,
 
Mbeba maono TL 2020 hate sie wanaccm tunaojielewa tutampa kura.
Ila mtusamehe KULA ni kule ccm.
 
Sawa hamna tabu, sisi sote ni Watanzania ila tunapotofautiana ni katika kuzingatia utawala unaoheshimu uhuru, haki na usawa mbele ya sheria kama zilivyoanishwa kwenye Katiba...hilo tu!
 
..TL anahitaji timu nzuri ya washauri wa kampeni, haswa waandishi wa hotuba.

..pia idara ya Habari na Uenezi ya CDM kwa kweli imedorora, wanamuangusha mgombea.
 
Back
Top Bottom