Tundu hakuwa msaliti, alitakiwa ajibiwe kwa hoja sio kwa mtutu. Alipwe pesa zake

Tundu hakuwa msaliti, alitakiwa ajibiwe kwa hoja sio kwa mtutu. Alipwe pesa zake

Labda mtuambie kwanini nyie CHADEMA mlimpiga lissu risasi?
Unaona hili! Hivi chuki zote za mwerndazake kwa chadema na viongozi wao,ingetokea kweli ndiyo waliopanga na kutekeleza mpango huo si wote wangeishia magerezani kwa kuidhalilisha serikali yake?
 
Baadhi ya Watanzania wenzetu wana matatizo sana. Wanapenda kushadadia mambo bila kufanya tafakuri.

Kama mtu anasema mtapata hasara mkivunja mkataba fulani ndio apigwe risasi?

Mtu akisema tutumie akili kudili na masuala ya kisheria ndio apigwe masasi?

Serikali hii hii inatakiwa kumlipa Lissu stahiki zake. Ndio hii hii serikali iliyo mfanyia kitu mbaya.
Mataga hawatakuelewa kamwe.Maana wao NI waimba mapambio wakati wa kuabudu
 
Hakuna tusi jipya, endelea kutukana tu na siwezi kukurudishia tusi kwa kuwa hata mimi nitaonekana mpumbavu kama wewe.

Ukiona mtu anatoa matusi badala ya hoja ujuwe umemshinda uelewa. Msaliti ma mwizi na mwongo Ni huyu Mwendazake ambaye tulifunga ukurasa rasmi Machi 17, 2021.
Mama Samia chapa kazi
Hakika.
 
Back
Top Bottom