Tundu hakuwa msaliti, alitakiwa ajibiwe kwa hoja sio kwa mtutu. Alipwe pesa zake

Tundu hakuwa msaliti, alitakiwa ajibiwe kwa hoja sio kwa mtutu. Alipwe pesa zake

Watu aina ya Lisu hata Congo pale wako wengi sana ana wamejazana ubelgiji!

Kila Congo ikijaribu kujikwamua kwenye makucha ya mabeberu kina Lisu wanaibuka na vurugu juu
Hebu lete story zaidi juu ya hii habari yako kiongozi. Au wapi naweza kusoma zaidi juu ya haya uliyoandika?
 
Unao ushahidi juu ya kuhusika kwa serikali? Mpo kwenye lichama linaendeshwa kihuni tu kujichachawangwe afu mnatuletea mazingaombwe yenu sisi😡! TL alikuwa analipwa na acacia kutetea wizi😡! TL kahusika ktk kukamatwa ndege zetu! TL kakejeli ndege zetu! TL na Zito walihusika kutaka kuwazuia wahisani kuleta misaada! TL katutukania marais wetu wapendwa(JK Nyerere na JPJM (may the precious souls these great African heros rest in eternal peace and power, amen🙏)katutukania nchi yetu, na katutukana watz wote😡! Unasema siyo msaliti🤔😡😜😂🤣😂! Kwako msaliti ni nani vile😜!? Watz hatudanganyiki 😜!
Hujitambui
 
..wakati Lissu anayapigania madini Jpm si alikuwa bungeni akipiga kura na wana-ccm wenzake kuunga mkono sheria na mikataba inayoliumiza taifa?

..alikuwa anasubiri Uraisi ndipo atetee rasilimali zetu? Asingepata Uraisi angekufa akiwa msaliti aliyeunga mkono mikataba mibovu ya madini, gesi, na mafuta?

..Ni bahati mbaya sana kulikuwa na mtizamo kwamba ili watu fulani waibuke mashujaa lazima Lissu achafuliwe, apewe majina mabaya, na apotezwe ktk uso wa dunia.
Mkuu najua wewe si mgeni kwenye siasa za TZ, nakuhakikishia Tundu angekua serikalini kipindi kile zile kelele zake usingezisikia,

Hakuna mtu anapenda kuwa kinyume na Boss wake, ndio maana wakati Lowasa anakalibishwa Chadema na bwana Mbowe

Tundu aliishia kujiuma uma tu, ndio siasa za Tz, hakuna anaependa kuwa kinyume na Boss

So John hakua na chaguo,

Halafu ushujaa wa John haukuja baada ya Tundu kuchafuliwa, John amejenga jina kutokana na matendo yake, watu walikua wanaona mambo yanaenda.
 
Baadhi ya Watanzania wenzetu wana matatizo sana. Wanapenda kushadadia mambo bila kufanya tafakuri.

Kama mtu anasema mtapata hasara mkivunja mkataba fulani ndio apigwe risasi?

Mtu akisema tutumie akili kudili na masuala ya kisheria ndio apigwe masasi?

Serikali hii hii inatakiwa kumlipa Lissu stahiki zake. Ndio hii hii serikali iliyo mfanyia kitu mbaya.
Ni kweli Tundu alikuwa mwanasheria wa ao wachimba madini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu leo mchana tulikua na huo mjadala! Mtu anaanza kumlaumu tu Lissu namuuliza hivi unajua Lissu kaanza hizi harakati za madini lini? Hana jibu! Namuuliza wewe binafsi Lissu amewahi kukukosea nini mpaka unamchukia? Hana jibu!

Nilichokuja kugundua watu wengi wanaomchukia Lissu Wana uwezo mdogo sana kichwani kureason..(Mtanisamehe kwa hili)
Kuna baadhi wanalishwa matango pori, wengi wao ni waovu wanaogopa sana mtu kama Lisu kuchukua Nchi kwa gharama yoyote ni lazima wa mchafue siku akiapishwa kuwa raisi atafufua makaburi kuanzia mika ya 60 ccm waoga wa kurudisha hela walizopiga tangu uhuru chuki inaanzia hapo
 
..shares za serikali ktk kampuni ya Twiga sheria yake iliandikwa wakati wa JK.

..kama utakumbuka JK naye aliunda tume ya madini na bunge lilifanyia marekebisho sheria ya madini.
Aisee kipindi Serikali ya JPM zilishuka nyuzi nyingi za kumlamu kuwa atakimbiza wawekezaji wa madini kisa hizo sheria zilizotungwa katika awamu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu leo mchana tulikua na huo mjadala! Mtu anaanza kumlaumu tu Lissu namuuliza hivi unajua Lissu kaanza hizi harakati za madini lini? Hana jibu! Namuuliza wewe binafsi Lissu amewahi kukukosea nini mpaka unamchukia? Hana jibu!

Nilichokuja kugundua watu wengi wanaomchukia Lissu Wana uwezo mdogo sana kichwani kureason..(Mtanisamehe kwa hili)
iliwaamnisha kuwa Lissu katumwa na mabeberu ,
 
Watu aina ya Lisu hata Congo pale wako wengi sana ana wamejazana ubelgiji!

Kila Congo ikijaribu kujikwamua kwenye makucha ya mabeberu kina Lisu wanaibuka na vurugu juu
Mmoja wao ni huyu. Mwenye uwezo mdogo sana wa kuchambua hoja [emoji107]
 
Huwezi kuelewa haya mambo maana wewe kula yako inategemea hao kina Lisu
Crimea hata kabla Mkapa hajagawa madini yetu bure kwa so called wawekezaji . Lissu alisimama na taifa wala si tumbo lake. Wakati huo Maghufuli wako alikuwa anaunga mkono hoja yoyote toka kwa watawala.

So Leo kumuona Maghufuli mzalendo zaidi ya Lissu sijui una maana gani ?!. Mfano ni mswaada wa Gas na mafuta 2015. Leo tunaambiwa hatuna chetu. Nani msaliti kama siyo high table ya Ccm ?!
 
Kuna mkuu wa mhimili mkubwa alifanya kwa maelekezo kutoka juu kutokumlipia Lisu mafao yake na matibabu. huu uzi akisoma ataumia sana.
 
Baadhi ya Watanzania wenzetu wana matatizo sana. Wanapenda kushadadia mambo bila kufanya tafakuri.

Kama mtu anasema mtapata hasara mkivunja mkataba fulani ndio apigwe risasi?

Mtu akisema tutumie akili kudili na masuala ya kisheria ndio apigwe masasi?

Serikali hii hii inatakiwa kumlipa Lissu stahiki zake. Ndio hii hii serikali iliyo mfanyia kitu mbaya.
Sijawahi kusikia hoja za msingi wanazomjibu Lissu zaidi ya kupiga kelele tu.
Lissu ni akili kubwa, kama una akili za kindezi hauwezi kumuelewa
 
Mkuu leo mchana tulikua na huo mjadala! Mtu anaanza kumlaumu tu Lissu namuuliza hivi unajua Lissu kaanza hizi harakati za madini lini? Hana jibu! Namuuliza wewe binafsi Lissu amewahi kukukosea nini mpaka unamchukia? Hana jibu!

Nilichokuja kugundua watu wengi wanaomchukia Lissu Wana uwezo mdogo sana kichwani kureason..(Mtanisamehe kwa hili)
Fact,ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom