Tundu hakuwa msaliti, alitakiwa ajibiwe kwa hoja sio kwa mtutu. Alipwe pesa zake

Tundu hakuwa msaliti, alitakiwa ajibiwe kwa hoja sio kwa mtutu. Alipwe pesa zake

katiba ya nchi inasemaje kuhusu makinikia we farasi!!!

..makinikia yanaendelea kusafirishwa nje ya nchi kama ilivyokuwa zamani.

..serikali imesaini mkataba na barrick kwamba migogoro baina yao itaamuliwa na mahakama za nje ya Tz kitu ambacho ni kinyume na marekebisho ya sheria yaliyopitishwa na bunge.

..serikali pia imeachana na madai ya usd 191 billion dhidi ya barrick badala yake imekubali kishika uchumba cha usd 300 million ambacho malipo yake yamekuwa kidogo kidogo tangu mwaka 2017.
 
Ivi dereva wa Lissu amewahi kurudi nchini? Nauliza tu kwa anayejua
 
..makinikia yanaendelea kusafirishwa nje ya nchi kama ilivyokuwa zamani.

..serikali imesaini mkataba na barrick kwamba migogoro baina yao itaamuliwa na mahakama za nje ya Tz kitu ambacho ni kinyume na marekebisho ya sheria yaliyopitishwa na bunge.

..serikali pia imeachana na madai ya usd 191 billion dhidi ya barrick badala yake imekubali kishika uchumba cha usd 300 million ambacho malipo yake yamekuwa kidogo kidogo tangu mwaka 2017.
bila shaka imeshitakiwa MIGA kama mwanasheria msomi alivyotabiri.
 
..kama tulikuwa na hasira za kuibiwa madini basi waliostahili kupigwa risasi ni ceo wa barrick / accacia na waandamizi wengine wa kampuni hiyo.

..lakini ceo wa barrick alikuja hapa nchini akazungumza na bwana mkubwa ikulu baadae akapanda ndege yake kurudi Canada.

..Yule mzungu ndio alitakiwa kutandikwa risasi, au kutupwa korokoroni kwa kesi ya uhujumu uchumi.
 
Kwa wakati ule, Lissu alistahili jina la usaliti japo hakustahili lisasi pia,

Angepewa elimu ya kile kinachofanyika, maana shida yake kubwa ilikua ni uelewa hafifu.
 
Baadhi ya Watanzania wenzetu wana matatizo sana. Wanapenda kushadadia mambo bila kufanya tafakuri.

Kama mtu anasema mtapata hasara mkivunja mkataba fulani ndio apigwe risasi?

Mtu akisema tutumie akili kudili na masuala ya kisheria ndio apigwe masasi?

Serikali hii hii inatakiwa kumlipa Lissu stahiki zake. Ndio hii hii serikali iliyo mfanyia kitu mbaya.
Kimsingi ungetokea muujiza Magufuli akafufuka leo na kurudia kiti chake cha urais kuna uwezekano mkubwa akamwita Lissu na kumuomba msamaha halafu ampe uwaziri mkuu halafu wale waliokuwa wanajifanya kumuimbia mapambio kama kina Mwingulu awafuze ndani ya CCM. Marehemu alidhani Lissu ndiye adui yake kumbe hakujua maadui halisi walikuwa wamemzunguka na huku wakimsifu mchana na usiku.
 
Baadhi ya Watanzania wenzetu wana matatizo sana. Wanapenda kushadadia mambo bila kufanya tafakuri.

Kama mtu anasema mtapata hasara mkivunja mkataba fulani ndio apigwe risasi?

Mtu akisema tutumie akili kudili na masuala ya kisheria ndio apigwe masasi?

Serikali hii hii inatakiwa kumlipa Lissu stahiki zake. Ndio hii hii serikali iliyo mfanyia kitu mbaya.
Covid ndio kiboko ya yule muuaji,sasa hivi yuko chato funza zinatafuna tu
 
..serikali ilikuwa inawadanganya wananchi.

..jiulize madai ya usd 191 billion dhidi ya acacia yameishia wapi.
Lengo la serikali halikua hiyo pesa, lengo kuu ilikua kuwaludisha Acacia barabarani,

Na ilifanikiwa, maana mikataba iliangaliwa upya hadi ikazaliwa Twiga,

So ukisema serikali ilidanganya watu hautokua sahihi.
 
Watu aina ya Lisu hata Congo pale wako wengi sana ana wamejazana ubelgiji!

Kila Congo ikijaribu kujikwamua kwenye makucha ya mabeberu kina Lisu wanaibuka na vurugu juu
Covid moja tu mmemzika chato,mungu fundi sana baba mgogo ombaomba jubo
 
Back
Top Bottom