Tukishafilisiwa na kuuziwa Kila kitu!Kila jambo na wakati wake, ikifika muda sahihi waTanzania wataandamana pasipo hata kuambiwa na wanasiasa.
Wakati mnamchagua mlitegemea nini kipya? Hela hamna na watu hawaandamani.Nimemsikia akisema No Reform,No Election,
Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima.
Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi?
Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona maandamano ilikuwa 2005 au 2006 wanafunzi wa UDSM wakipinga sera ya bodi ya mikopo,kuanzia hapo maandamano yanafanywa online
Watanzania sio wa kuamini sana
Tulioandamana enzi za mwembe chai tumeshazeeka tunakyla uzee
Ndio, labda itakuwa ni muda sahihi, ni ngumu kwa sasa waTanzania kufanya maandamano kwa sababu.Tukishafilisiwa na kuuziwa Kila kitu!
wewe na nani?Mbinu ya kwanza yeye na familia yake wawe front!
Sisi tutakuja bila tatizo!
Maandamano huwa hayapangwi Wala kushawishiwa, huibuka tuNimemsikia akisema No Reform,No Election,
Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima.
Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi?
Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona maandamano ilikuwa 2005 au 2006 wanafunzi wa UDSM wakipinga sera ya bodi ya mikopo,kuanzia hapo maandamano yanafanywa online
Watanzania sio wa kuamini sana
Tulioandamana enzi za mwembe chai tumeshazeeka tunakyla uzee
Lisu na Chama chake watagomea Uchaguzi, wataitisha Maandamano vijana wa hovyo tutaandamana online.
Zito na chama chake kinaenda kua chama kikuu cha upinzani Bungeni