Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kwa sababu Mbowe aliwahi kushinda ili amuoneshe mbinu?Lissu akifail 2025, akamuangukie Mbowe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu Mbowe aliwahi kushinda ili amuoneshe mbinu?Lissu akifail 2025, akamuangukie Mbowe tu
Huo ndio ukweli,mitanzania mioga sana shenzy kabisaNinyi ni mijoga tu.Hata akitangulia yeye na familia yake na wachinjwe hamtojitokeza.Ile sentensi ya Mtanzania..."nife/niteseke kwa nini?Kwani sina nyumbani kwetu"...ni tatizo kamili la kisaikolojia.
Kwa sababu Mbowe aliwahi kushinda ili amuoneshe mbinu?
Siyo sababu na hakuna uhusiano wala mashiko.hapana ila amaemshambulia sana Mbowe yeye na wafuasi wakekuwa mwenendo wa Mbowe wa kisiasa sio sahihi kwa hiyo wao ndio wana mwenendo sahihi
Ukiangalia wale wanaoandamana ni wale tia maji tia maji, wenye kipato cha kueleweka 90% hawafanyi hiyo shughuli.Dah sio kweli,kuna nchi ziko vizuri kiuchumi ila kuingia barabarani ni kugusa tu,sie ni waoga