Tundu Liisu atatumia mbinu gani kushawishi watu waandamane, Watanzania wa kizazi hiki ni waoga sana

Tundu Liisu atatumia mbinu gani kushawishi watu waandamane, Watanzania wa kizazi hiki ni waoga sana

Nimemsikia akisema No Reform,No Election,
Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima.
Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi?
Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona maandamano ilikuwa 2005 au 2006 wanafunzi wa UDSM wakipinga sera ya bodi ya mikopo,kuanzia hapo maandamano yanafanywa online
Watanzania sio wa kuamini sana
Tulioandamana enzi za mwembe chai tumeshazeeka tunakyla uzee
huyu takataka ni mwanasiasa kama mawanasiasa wengine

maongo sana

limedanganya likapata kura with these lies

kuandamana ni bunch of lies an kutupotezea muda

we really thought he is telling the truth

no tanzanian will ever match and put his life to death sababu Lissu said so

anakosea sana kudhani hii ni kenya

he has to think harder to overcome this

i doubt atarudi kule kule alichokua anafanya mwenzake Freeman,na tutasema amelamba asali the same way!
 
Kwa hili la maandamano ni kugumu kwa kweli. Labda maandamano yanayokubaliwa na serikali. Watz ni waoga kwa maandamano ya kuishurutisha serikali
 
Naunga mkono kauli mbiu ya NO REFORMS NO ELECTION na napendekeza strategy ya kwenda kuwaharibia kwa MABEBERU..na hivi tu TEGEMEZI, lazima ndoano itemwe....Late Maalim Seif na chama chake cha CUF,waliutumie sana huu mkakati..TOKENI
 
Mbinu ya kwanza yeye na familia yake wawe front!
Sisi tutakuja bila tatizo!
Jamaa aliandama Kigoma akavunjwa mguu akafungwa mvua ngapi sijui hata siku moja akiwa gerezani hakuona kiongozi yeyote wa hicho Chama kwenda japo kumsalimia zaidi ya ndugu zake, kutoka anamkuta kiongozi wake aliyemsababishia kufungwa kawa mwenye kiti wa CCM mkoa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hakuna Watu wa kumsikiliza Lissu aliyeingia uongozini kwa hila,ghiliba,uongo na uchafu wote unaoujua.

Lissu atalipa gharama kubwa za kuwapaka wenzake matope na kujiona yeye msafi sana kumbe mshenzi tu si lolote si chochote najuta kumpigia kura 2020.
 
Mbinu zipo nyingi Sana zitachaguliwa zinazofaa kulingana na mazingira ya wakati huo
Binadamu akipata changamoto huamsha ubongo wakati huo huo hukutana na ubunifu.

Kila mtu ni kichaa, tukitaka kujua ukichaa wako tutasubiri utakapo kasirika sana na siajabu huwa unavunja vitu, hata simu ukisha ipasua, halafu kesho yake unajutia, kikikiki

The degree of madness is measured when someone is angry 😡
 
Attachments

  • IMG-20250126-WA0010.jpg
    IMG-20250126-WA0010.jpg
    206.9 KB · Views: 2
  • IMG-20250126-WA0007.jpg
    IMG-20250126-WA0007.jpg
    39.9 KB · Views: 2
Nimemsikia akisema No Reform,No Election,
Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima.
Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi?
Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona maandamano ilikuwa 2005 au 2006 wanafunzi wa UDSM wakipinga sera ya bodi ya mikopo,kuanzia hapo maandamano yanafanywa online
Watanzania sio wa kuamini sana
Tulioandamana enzi za mwembe chai tumeshazeeka tunakyla uzee
Yaani mpunga niliovuna na ni ale wali huo kama ntakuwa nimekufa, na wife abebwe.

Andamaneni nyie wapumbavu
 
Mmejengewa kuamini eti watanzania ni waoga, hawawezi kuandamana. Huo ni uongo, na ni mbinu ua watawala kuwakatisha tamaa watu kuwa kuandamana hakuwezekani.
Mkuu nakuhakikishia waTz wataandamana sanaaa nchi nzima yaani watafunga barabara na kuchoma mataili endapo tu Simba na Yanga zitafutwa kushiriki NBC Premier League na si vinginevyo.
 
Nimemsikia akisema No Reform,No Election,
Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima.
Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi?
Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona maandamano ilikuwa 2005 au 2006 wanafunzi wa UDSM wakipinga sera ya bodi ya mikopo,kuanzia hapo maandamano yanafanywa online
Watanzania sio wa kuamini sana
Tulioandamana enzi za mwembe chai tumeshazeeka tunakyla uzee
Alisema Mbowe kalamba asali hvyo hawezi itisha maandamano ila yeye ana uwezo huo wa kuamsha tena hisia Za watu….. tumpe muda….
 
Mkuu nakuhakikishia waTz wataandamana sanaaa nchi nzima yaani watafunga barabara na kuchoma mataili endapo tu Simba na Yanga zitafutwa kushiriki NBC Premier League na si vinginevyo.
Huu ndio ukweli
 
Hakuna Watu wa kumsikiliza Lissu aliyeingia uongozini kwa hila,ghiliba,uongo na uchafu wote unaoujua.

Lissu atalipa gharama kubwa za kuwapaka wenzake matope na kujiona yeye msafi sana kumbe mshenzi tu si lolote si chochote najuta kumpigia kura 2020.
Halafu wenzie hata kashfa ya ushoga wamemfichia.
 
Mbinu ya kwanza yeye na familia yake wawe front!
Sisi tutakuja bila tatizo!
Ninyi ni mijoga tu.Hata akitangulia yeye na familia yake na wachinjwe hamtojitokeza.Ile sentensi ya Mtanzania..."nife/niteseke kwa nini?Kwani sina nyumbani kwetu"...ni tatizo kamili la kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom