Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jan 26, 2025 #41 dos.2020 said: Lissu akifail 2025, akamuangukie Mbowe tu Click to expand... Kwa sababu Mbowe aliwahi kushinda ili amuoneshe mbinu?
dos.2020 said: Lissu akifail 2025, akamuangukie Mbowe tu Click to expand... Kwa sababu Mbowe aliwahi kushinda ili amuoneshe mbinu?
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Jan 26, 2025 Thread starter #42 Moisemusajiografii said: Ninyi ni mijoga tu.Hata akitangulia yeye na familia yake na wachinjwe hamtojitokeza.Ile sentensi ya Mtanzania..."nife/niteseke kwa nini?Kwani sina nyumbani kwetu"...ni tatizo kamili la kisaikolojia. Click to expand... Huo ndio ukweli,mitanzania mioga sana shenzy kabisa
Moisemusajiografii said: Ninyi ni mijoga tu.Hata akitangulia yeye na familia yake na wachinjwe hamtojitokeza.Ile sentensi ya Mtanzania..."nife/niteseke kwa nini?Kwani sina nyumbani kwetu"...ni tatizo kamili la kisaikolojia. Click to expand... Huo ndio ukweli,mitanzania mioga sana shenzy kabisa
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Jan 26, 2025 #43 Moisemusajiografii said: Kwa sababu Mbowe aliwahi kushinda ili amuoneshe mbinu? Click to expand... hapana ila amaemshambulia sana Mbowe yeye na wafuasi wakekuwa mwenendo wa Mbowe wa kisiasa sio sahihi kwa hiyo wao ndio wana mwenendo sahihi
Moisemusajiografii said: Kwa sababu Mbowe aliwahi kushinda ili amuoneshe mbinu? Click to expand... hapana ila amaemshambulia sana Mbowe yeye na wafuasi wakekuwa mwenendo wa Mbowe wa kisiasa sio sahihi kwa hiyo wao ndio wana mwenendo sahihi
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jan 26, 2025 #44 dos.2020 said: hapana ila amaemshambulia sana Mbowe yeye na wafuasi wakekuwa mwenendo wa Mbowe wa kisiasa sio sahihi kwa hiyo wao ndio wana mwenendo sahihi Click to expand... Siyo sababu na hakuna uhusiano wala mashiko.
dos.2020 said: hapana ila amaemshambulia sana Mbowe yeye na wafuasi wakekuwa mwenendo wa Mbowe wa kisiasa sio sahihi kwa hiyo wao ndio wana mwenendo sahihi Click to expand... Siyo sababu na hakuna uhusiano wala mashiko.
Messenger RNA JF-Expert Member Joined Jul 24, 2022 Posts 1,411 Reaction score 3,712 Jan 26, 2025 #45 mdukuzi said: Dah sio kweli,kuna nchi ziko vizuri kiuchumi ila kuingia barabarani ni kugusa tu,sie ni waoga Click to expand... Ukiangalia wale wanaoandamana ni wale tia maji tia maji, wenye kipato cha kueleweka 90% hawafanyi hiyo shughuli.
mdukuzi said: Dah sio kweli,kuna nchi ziko vizuri kiuchumi ila kuingia barabarani ni kugusa tu,sie ni waoga Click to expand... Ukiangalia wale wanaoandamana ni wale tia maji tia maji, wenye kipato cha kueleweka 90% hawafanyi hiyo shughuli.