Aliitisha maandamano lini?Angekuwa anaungwa mkono kama hivi pindi aitishapo maandamano muda huu ccm ingekuwa haipo!
Naona una kiherehere sana. Subiri hapo utakaposikia muziki wake utakapokuwa tayari kama hamtazinduka kungali mapema kwenye ndoto zenu za kuwalaghai waTanzania huko CCM.