Tundu Lissu aalikwa katika mhadhara wa Chuo Kikuu cha Makerere

Tundu Lissu aalikwa katika mhadhara wa Chuo Kikuu cha Makerere

23/9/2024 hicho kiherehere chako cha kumkejeli kilikuwa bado!
Hivi mtu unapo kuwa mwanachama au mpenzi wa CCM inakulazimu uwe na akili kama za kiwenda wazimu?
Tundu Lissu alikuwa Mwenyekiti wa chama lini?

Kuna wakati nilikuchukulia kuwa unazo akili za kutosha za kukuwezesha kufikiri mwenyewe, kumbe ni kikaragosi tu!
 
Its either hawamjui Lissu, au wamemtega

Lissu haamini katika fikra za mwalimu JK Nyerere, sasa hawa kigoda cha Nyerere wanamuitaje mpinga nyerere aelezee mazuri ya nyerere
 
Aliitisha maandamano lini?
Naona una kiherehere sana. Subiri hapo utakaposikia muziki wake utakapokuwa tayari kama hamtazinduka kungali mapema kwenye ndoto zenu za kuwalaghai waTanzania huko CCM.
Achana naye huyo.
Hawa ni wale ambao hata presentation tu chuo ziliwashinda. Wao walikuwa wanasubiria conclusion na introduction. Wakirudi mtaani kelele nyingi! Ni madhara ya wizi wa mitihani
 
Its either hawamjui Lissu, au wamemtega

Lissu haamini katika fikra za mwalimu JK Nyerere, sasa hawa kigoda cha Nyerere wanamuitaje mpinga nyerere aelezee mazuri ya nyerere
Kutofautiana kifikra na Mwalimu Nyerere katika baadhi ya mambo siyo lazima iwe ni "kumpinga".
Hili ndilo watu wetu wengi wanashindwa kulielewa, na matokeo yake ndio "UCHAWA".
 
Tundulisi ni degree holder 1 , lakn anaend kucmama na kusilz na wasome wenye Phd
Cha ajabu nini miaka nenda rudi anekuwa chini ya Mbowe ambaye ni form six division zero
 
Lisu alimtukana Nyerere hafai
Uko sahihi ils Uganda atashika adabu yake hawezi ongea ule upuuzi anaongea Tanzania wa kutukana Nyerere

Kule waganda wanamheshimu sana Nyerere na wako kwenye mchakato wa kumfanya atangazwe kuwa mtakatifu

Lisu kule atakuwa mdogo.kama piritoni

Hawezi thubutu kutukana Nyerere Uganda
 
Mh. Tundu Lissu amealikwa Chuo Kikuu cha Makerere kutoa mhadhara wa umma juu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na ushawishi wake katika siasa na katiba za Afrika Mashariki.
Achague maneno ya kusema huko! Akitoa kauli za ajabu asiwalaumu wenyeji wake.
 
Back
Top Bottom