Tundu Lissu aandika kitabu kuhusu uwajibikaji wa Mabunge ya Afrika Mashariki

Tundu Lissu aandika kitabu kuhusu uwajibikaji wa Mabunge ya Afrika Mashariki

Nani atanunua kitabu cha kuandikwa na mtu ambaye dish limetilt kiasi hicho? Sana sana atajaza mitusi humo ndani mpaka wewe uliyemshauri utajidharau. Eti chizi aandike kitabu 😂
 
Ameshachuja.
Polepole na Bashiru je? Hawajachuja na kuchujuka kabisa?
Nani anakulipa buku saba? Maana mambo yamebadilika.
2799136_1622926778129.png
 
Nani atanunua kitabu cha kuandikwa na mtu ambaye dish limetilt kiasi hicho? Sana sana atajaza mitusi humo ndani mpaka wewe uliyemshauri utajidharau. Eti chizi aandike kitabu 😂
..aliyeyumba dishi Ni mwendazake, keshaenda
 
Ni kweli hiyo heading haijakamilika, ila nilipitiwa na nimeshituka nikiwa tayari nime-post na bahati mbaya members hatuna access ya ku-edit kichwa cha habari.

Nawaomba mods warekebishe.


Umekuwa muungwana sana mkuu... Basi modes tunawaomba warekebishe
 
Back
Top Bottom