Tundu Lissu aandika kitabu kuhusu uwajibikaji wa Mabunge ya Afrika Mashariki

Tundu Lissu aandika kitabu kuhusu uwajibikaji wa Mabunge ya Afrika Mashariki

..yaani sijui hata tumechomoka vipi, maana jamaa alishaelekeza nchi " kibla. "

..watu wote walishasalimu amri akawa anatamba yeye tu.
Jamaa alikua ameshika mic peke yake anarap anavyotaka...hatarious
 
Nani atanunua kitabu cha kuandikwa na mtu ambaye dish limetilt kiasi hicho? Sana sana atajaza mitusi humo ndani mpaka wewe uliyemshauri utajidharau. Eti chizi aandike kitabu [emoji23]

Lissu chizi? Think again. Mpe heshima yake. Sponsorship ya think tank kama Conrad Adenauer Stiftung haipatikani kirahisi.
 
Uzalendo gani huo wa kuandika kwa lugha ya mabeberu ambayo wanachadema wengi hawaifahamu ?!!
 
Lissu chizi? Think again. Mpe heshima yake. Sponsorship ya think tank kama Conrad Adenauer Stiftung haipatikani kirahisi.
Unataka mpaka aanze kuokota makopo majalalani ndo ujue kuwa dishi limeyumba siyo?
 
Ngeli ya humo ndani tutaelewa kweli..au inabidi tununue na dictionary kabisa

Msikilize kamanda Tundu Lissu akituelezea kwa kiSwahili yaliyomo ndani ya kitabu chake :
21 Jun 2021

Tundu Lissu | Remaining in Shadows, Parliament & Accountability in East Africa​

Swahili Villa na America Swahili News tumefanya Mahojiano na Tundu Lissu juu ya kitabu chake wa Remaining in Shadows, Parliament and Accountability in East Africa. Kitabu hiki kita zinduliwa rasmi tarehe 25, mwezi wa sita mwaka 202, mjini Nairobi Kenya. Tafadhali sana fuatilia mahojiano yetu na Tundu Lissu.


Source : America Swahili News
 
Back
Top Bottom