Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Jamaa alikua ameshika mic peke yake anarap anavyotaka...hatarious..yaani sijui hata tumechomoka vipi, maana jamaa alishaelekeza nchi " kibla. "
..watu wote walishasalimu amri akawa anatamba yeye tu.
Atakuwa amekosea kama atasema TZ nayo ina bunge.Aandika kitabu kuhusu uwajibikaji wa Mabunge ya Afrika Mashariki
Cover la juu lina picha na maneno haya:
Remaining in the Shadows- Parliament and Accountability in East Africa.
View attachment 1823076
Kama ulikuwa na hofu baadaye ukashangilia kwa mtesi wako kuondoka duniani kwa nini usirudi.Wewe ungerudi ?
Waliompiga risasi walishakamatwa ?Kama ulikuwa na hofu baadaye ukashangilia kwa mtesi wako kuondoka duniani kwa nini usirudi.
Hofu ya nini sasa?
Mjinga kwelihuyo hata ID yake bandiaUkiacha wivu utakuwa raia mwema.Weye huna passport hata ya kusafiri kwenda Burundi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji106]
Anajitoa ufahamu tu.Unajua tena kiumbe akiwa ni "CCM lover"!Mjinga kwelihuyo hata ID yake bandia
Nani atanunua kitabu cha kuandikwa na mtu ambaye dish limetilt kiasi hicho? Sana sana atajaza mitusi humo ndani mpaka wewe uliyemshauri utajidharau. Eti chizi aandike kitabu [emoji23]
Kwa hiyo ndiyo ana hofu nao?Waliompiga risasi walishakamatwa ?
Jamaa alikua ameshika mic peke yake anarap anavyotaka...hatarious
Unataka mpaka aanze kuokota makopo majalalani ndo ujue kuwa dishi limeyumba siyo?Lissu chizi? Think again. Mpe heshima yake. Sponsorship ya think tank kama Conrad Adenauer Stiftung haipatikani kirahisi.
Wewe unadhani ana hofu na nani ?Kwa hiyo ndiyo ana hofu nao?
Ngeli ya humo ndani tutaelewa kweli..au inabidi tununue na dictionary kabisa