Pre GE2025 Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatizo ni kwamba Lissu alisema Abdul aliletwa na Wenje kumhonga ili aache kumsumbua mama yake. Hii clip inaendana kabisa na simulizi za Wenje na Yericko. Lakini bado kuna watu watamtetea.

Amandla...
Imekatwa kwa makusudi maalumu lkn tunashukuru imehamishiwa mahala husika. Haya nenda page ya kwanza usikie habari nzima. Kisha uendelee na ushabiki wako kwa MUSEVEN wa MACHAME.
 
Jamaa haeleweki kama alikataa hela za Abdul ila Abdul akakubali kupokea documents amsaidie bure.
1735132002158.png
 
Imekatwa kwa makusudi maalumu lkn tunashukuru imehamishiwa mahala husika. Haya nenda page ya kwanza usikie habari nzima. Kisha uendelee na ushabiki wako kwa MUSEVEN wa MACHAME.
Unasikilizaje page? Another fool added to my ignore list.

Amandla...
 
Simulizi zake za awali ni kuwa Abduli alitaka kumhonga. Na alimuonyesha wengine waliokuwa tayari wamekubali. Na hizo taarifa alipeleka kwenye kikao cha Kamati Kuu.

Amandla...
Mkuu, wapi sasa unachanganyikiwa?

Baada ya issue ya rushwa kubuma, anasema TAL, mjadala ukahamia kwenye suala la jinsi ya kufanikisha malipo yake KIHALALI.

Hapo ndipo nakala za nyaraka husika akapewa Abdul, pamoja na ile soft copy.
 
Tatizo ni kwamba Lissu alisema Abdul aliletwa na Wenje kumhonga ili aache kumsumbua mama yake. Hii clip inaendana kabisa na simulizi za Wenje na Yericko. Lakini bado kuna watu watamtetea.

Amandla...
Merry Christmas my friend.

Kuhusu Lissu, huyo tayari anajulikana kwa kutosema ukweli.

Aliudanganya umma wa Watanzania kuwa mlinzi mmoja wa Magufuli alikufa kwa COVID wakati si kweli [at least kwa wakati huo].
 
View attachment 3073723

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Star TV, leo Agosti 17, 2024, amesema Mtoto wa Rais Samia aliyemtaja kwa jina la Abdul alitaka kumhonga pesa Novemba 2023.

Tundu Lissu amesema Abdul hakutaja kiwango cha pesa, na alitaka aende usiku kwenye mojawapo ya hoteli zilizopo Masaki ili apatiwe pesa hizo lakini alikataa, akasema aje nyumbani kwake Tegeta. Lissu amesema Abdul alitumia watu wa chama chake kumfikishia ujumbe huo.

Amefafanua zaidi kuwa kijana huyo alikuja nyumbani kwake, na baada ya kutaka kumpa pesa alizikataa akasema anataka kupewa pesa zenye risiti, siyo hizo za gizani. Kwenye mazungumzo hayo walikuwepo watu wanne, na walinzi wa Abdul wakiwepo nje ya nyumba yake.

Kwa mujibu wake, yeye alizikataa pesa hizo na kumwambia aende akamwambie Rais amlipe stahiki zake kwa mujibu wa sheria na siyo kumhonga, na alimpatia nyaraka zote zinazohusiana na madai yake.

Baada ya hapo hawakuwahi tena kuwasiliana.

Lissu amekataa kumtaja kiongozi wa CHADEMA aliyeambatana na Abdul.

Pia soma
Better mbowe apumzike.
Tuchuane na Lissu
 
Mkuu, wapi sasa unachanganyikiwa?

Baada ya issue ya rushwa kubuma, anasema TAL, mjadala ukahamia kwenye suala la jinsi ya kufanikisha malipo yake KIHALALI.

Hapo ndipo nakala za nyaraka husika akapewa Abdul, pamoja na ile soft copy.
Kama nimekuelewa vizuri ni kuwa Wenje alienda na Abduli kujaribu kumhonga Lissu. Ili kumthibitishia Lissu kuwa hongo sio haramu, wakamtajia wakubwa wengine ambao wako kwenye payroll ya Lissu.

Lissu akasema hawezi kupokea rushwa. Hapo ndipo hao hao wakamwambia badala ya rushwa wanaweza kumsaidia kupata malipo yake. Lissu akasema ( anasikika kwenye clip) kuwa ukifanikisha hilo utakuwa rafiki yangu wa kudumu. Itakuwaje amwambie hivyo mtu ambae amejaribu kumhonga na ambae amehonga watu wengine pia?

Na baada ya hapo akapeleka mashtaka katika Kamati Kuu kuhusu rushwa bila kuongelea la msaada wa kupata malipo yake. Make it make sense. Hilo la malipo aliibua Yericko ambae mlimpiga sana mawe. Maelezo yenu yamepindapinda mno.

Amandla...
 
Merry Christmas my friend.

Kuhusu Lissu, huyo tayari anajulikana kwa kutosema ukweli.

Aliudanganya umma wa Watanzania kuwa mlinzi mmoja wa Magufuli alikufa kwa COVID wakati si kweli [at least kwa wakati huo].
Merry Christmas to you too old friend. And Kwanzaa, Hanukka and New Year.

Mimi nilikuwa nimempa benefit of the doubt lakini haka ka mchezo ka safari hii kamenistua.

Amandla...
 
Kama nimekuelewa vizuri ni kuwa Wenje alienda na Abduli kujaribu kumhonga Lissu. Ili kumthibitishia Lissu kuwa hongo sio haramu, wakamtajia wakubwa wengine ambao wako kwenye payroll ya Lissu.

Lissu akasema hawezi kupokea rushwa. Hapo ndipo hao hao wakamwambia badala ya rushwa wanaweza kumsaidia kupata malipo yake. Lissu akasema ( anasikika kwenye clip) kuwa ukifanikisha hilo utakuwa rafiki yangu wa kudumu. Itakuwaje amwambie hivyo mtu ambae amejaribu kumhonga na ambae amehonga watu wengine pia?

Na baada ya hapo akapeleka mashtaka katika Kamati Kuu kuhusu rushwa bila kuongelea la msaada wa kupata malipo yake. Make it make sense. Hilo la malipo aliibua Yericko ambae mlimpiga sana mawe. Maelezo yenu yamepindapinda mno.

Amandla...
Ameibua Yeriko wapi we mjinga..na mpumbavu...Lisu aliyesema yote hayo unayosema kayaibua Yeriko muda mrefu, ndio maana kawambia muweke video nzima bila kuikatakata Ili mbivu na mbichi zijulikane. Mnachofanya sasa hivi nikujaribu kujificha kwenye kichaka huku matako yakiwa yanaonekana.
 
View attachment 3073723

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Star TV, leo Agosti 17, 2024, amesema Mtoto wa Rais Samia aliyemtaja kwa jina la Abdul alitaka kumhonga pesa Novemba 2023.

Tundu Lissu amesema Abdul hakutaja kiwango cha pesa, na alitaka aende usiku kwenye mojawapo ya hoteli zilizopo Masaki ili apatiwe pesa hizo lakini alikataa, akasema aje nyumbani kwake Tegeta. Lissu amesema Abdul alitumia watu wa chama chake kumfikishia ujumbe huo.

Amefafanua zaidi kuwa kijana huyo alikuja nyumbani kwake, na baada ya kutaka kumpa pesa alizikataa akasema anataka kupewa pesa zenye risiti, siyo hizo za gizani. Kwenye mazungumzo hayo walikuwepo watu wanne, na walinzi wa Abdul wakiwepo nje ya nyumba yake.

Kwa mujibu wake, yeye alizikataa pesa hizo na kumwambia aende akamwambie Rais amlipe stahiki zake kwa mujibu wa sheria na siyo kumhonga, na alimpatia nyaraka zote zinazohusiana na madai yake.

Baada ya hapo hawakuwahi tena kuwasiliana.

Lissu amekataa kumtaja kiongozi wa CHADEMA aliyeambatana na Abdul.

Pia soma
Time is a good teacher.
 
Back
Top Bottom