Tundu Lissu: Acheni kutunga uongo, mshaurini Rais Samia awataje na kuwakamata walionishambulia


Lissu na Lema plus their immediate families waendelee tu kufugwa na wazungu kama pets. Msimu wa uchaguzi unapofika, maisha yao hayako hatarini, lakini uchaguzi unapoisha na wao kuangukia pua, maisha yao yanakuwa hatarini kuliko ya mpinzani mwingine yeyote! Bure kabisa![emoji22]
 
Unapiga kelele na wapumbavu wasiojielewa.
 
Kama Mama alijipambanua anataka HAKI,hili la Lissu ndio kipimo kikubwa cha haki kutendeka pamoja na mengine.

Wahusika wafunguliwe mashtaka dhidi yao,watetezi wa udhalimu huu wanaiingiza nchi kwenye laana,na balaa.

Watanzania hatutaki kuwa sehemu ya ukiukwaji HAKi wa namna hii.
 


Lakini Mama anastahili sana pongezi kwa ujasiri ule, haikuwa rahisi kwa hali ilivyokuwa, tumeshuhudia wangapi walitenguliwa kutokana na kumtembelea Lissu
 
Sio kauli yangu ,Hiyo ilikuwa ni kauli ya Rais mnaetaka aunde tume ya kichunguza mauaji ya Lissu.
 
huyu njaa inamtafuna
analalama alipwe nini
 
Ni kweli mama awataje ila na yeye atuambie pesa za Kenyatta alizopewa alizipokea kwa Minajili gani!?
 
Kama mnataka hii Nchi iwe kama Somalia tutafika bila wasiwasi.
 
Kama mnataka hii Nchi iwe kama Somalia tutafika bila wasiwasi.
Hahahaaaa[emoji23]..! We keyboard warrior acha kuchekesha watu hapa, wakuifikisha hii nchi katika level za somalia sio nyinyi ambao mara kadhaa mmeshindwa kuingia road hata baada ya kuhamasishwa na viongozi wa magenge yenu, labda kama unamaanisha kuna nchi ya kusadikika.
 
Ni kweli, mama Samia hebu washughulikie hawa WAHUNI waliokuwa wanateka teka watu kuwatesa hadi baadhi kuwaua bila kufuata misingi ya sheria za nchi.

Kuna mmoja anaranda-randa mitaani hebu anza naye huyo kwanza ili utupe furaha watanzania ya kufungia mwaka 2021.
 
Unapiga kelele na wapumbavu wasiojielewa.

..mdogo-mdogo tutaelewana tu.

..aliyekuwa akifarakanisha Watz hayuko nasi tena.

..sasa Watz tuna nafasi ya kutendeana HAKI.

..Tusipoteze nafasi hii adhimu.
 
wewe mwenyewe unawajuwa hutaki kuwataja dreva umemficha huko unataka watu wapige ramli kuwajuwa? wewe ulidhurumu watu wakakufanya hivyo unakuja kubebesha watu mizigoi ya ujinga wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…