Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Huyo jamaa aendelee tu kuchechemea, hakuna namna.Kwani hata leo kwani pale mtaa wa kijani neema ya wakati ule Bado ipo ama mnajaribu kujiosha tu,kuwa mambo yako sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa aendelee tu kuchechemea, hakuna namna.Kwani hata leo kwani pale mtaa wa kijani neema ya wakati ule Bado ipo ama mnajaribu kujiosha tu,kuwa mambo yako sawa.
Niliacha kumpenda huyo jamaa kitambo sanaAcha ujinga au ni wewe ndie uliehusika katika kumshambulia kwa risasi Mhe Tundu Lissu?
Mtu anaishi ulaya bado anatamani pesa za kibongo?Mwanasheria nguli amekuwa mbogo na kutaka watu kutozua uongo kuwa hamkosoi mama Samia kuwa anakubaliana nae. Bali ametaka watu wamshauri ili waliompiga risasi wakamatwe na kuchukuliwa hatua.
Pia ndugu Lissu amedai kuwa kuliko kuzua uongo bora wamshauri mama Samia ili yeye alipwe haki zake alizoporwa na utawala CCM chini ya hayati JPM.
Lissu amekuwa mbogo baada ya watu wasio wema kuzua kuwa anamsifia mama Samia kwa ukarimu alionyesha baada ya kumtembelea hospitalini huko Nairobi Kenya.
mkuu usichanganyikiwe , bado U DASAache kelele zake zisizo na tija. Anachosha.
Bro ungekaa kimya kuliko kupost huu utumbo.Mtu anaishi ulaya bado anatamani pesa za kibongo?
Tamaa mbaya sana,
Kuna watu haku hawalali wanaota kwenda huko ulaya, yeye tayari yupo bado anaota pesa za kitanzania tu.
Auze hiyo chance kwa mtu mwingine ili aitendee haki.
Lazima uchoke kwani teuzi zote zimekupita kwa Kasi mithili ya gari la wagonjwa! Huna tofauti na mtwanga maji!Aache kelele zake zisizo na tija. Anachosha.
Na kwanini wasikamatwe? Ona aibu maana unachopalilia utakuja kukivuna! Usishangae siku ya mavuno!Kwa nini wakamatwe?
Siku gani?Na kwanini wasikamatwe? Ona aibu maana unachopalilia utakuja kukivuna! Usishangae siku ya mavuno!
Bado kuna teuzi nyingi tu, au unajifanya hujui?Lazima uchoke kwani teuzi zote zimekupita kwa Kasi mithili ya gari la wagonjwa! Huna tofauti na mtwanga maji!
Naona mmejipanga kutetea mambo yenu...shambulizi la Lissu na mwenendo wa kesi kuna giza ndani yake.Shukuran ya punda ni mateke, Lisu siku zote anachoangalia yeye ni tumbo lake na sio wema wa mtu yoyote. Kuhusu waliomshambulia aruhusu dereva wake aje ahojiwe na polisi ili waliomshambulia waweze kukamatwa kama anavyotaka. Angalie njia nyingine ya kutafuta pesa za kumlipa Amsterdam.
Ndugu, it's just a matter of time.....Mama aunde Tume Huru ya Uchunguzi ikate mzizi wa fitina kuhusu nani alitaka kumuua Tundu Lissu.