Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
We mgonjwa upo?Aache kelele zake zisizo na tija. Anachosha.
Habari za siku mukuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mgonjwa upo?Aache kelele zake zisizo na tija. Anachosha.
Na kwanini wasikamatwe???Kwa nini wakamatwe?
Sijui nahitaji mwalimu wa kunifundisha kusoma na kusndika naweza kukuajiri wewe.Unajua kusoma?
Na kwa nini wakamatwe?Na kwanini wasikamatwe???
Acha maneno mbofumbofu,hasira za kukosa teuzi usizilete humu.Tuliza matacle sasa
Kama mtafuta teuzi unajuaUteuzi wa kitu gani?
UVCCMHuu upuuzi umetokea wapi?
Kwani kwa taratibu zetu bila katiba mpya tuna zuio.Mimi la nimeishia la nne, ninafaa kupata teuzi?
Endelea kuota.Utarudi hapa ukilialia,tutakusulubu usiseme tuna kuonea
Kwani hata leo kwani pale mtaa wa kijani neema ya wakati ule Bado ipo ama mnajaribu kujiosha tu,kuwa mambo yako sawa.Endelea kuota.
Kijana kipindi kile uliyo dai ulipoteya ulitekwa na nani???Endelea kuota.
Unaniita kijana? Ha ha ha, hongera dogo.Kijana kipindi kile uliyo dai ulipoteya ulitekwa na nani???
Acha kujiona mjua..
Kikubwa jifunzi, kujifunza siyo kila muda hunakuwa subjectively kwa kila jamba