mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Siasa za nilipigwa risasi 30 hakuna anaezifatilia aisee Lissu ajipange upya alipata umaarufu kwa siasa za JPM kwa mama ataonekana kituko...wewe unaweza usione kuwa ni jambo la msingi, lakini wapo wengine kwao ni jambo la msingi.
..kinachotakiwa ni HAKI itendeke na waliofanya unyama dhidi ya Lissu na waliowatuma wakamatwe na kujibu mashtaka mahakamani.
..fikiria kama wewe ungekuwa ndio Lissu, mwanafamilia, rafiki, wote tunastahili kulindwa na kutendewa haki tunapopatwa na tatizo kama lililomtokea.