Tundu Lissu: Acheni kutunga uongo, mshaurini Rais Samia awataje na kuwakamata walionishambulia

Tundu Lissu: Acheni kutunga uongo, mshaurini Rais Samia awataje na kuwakamata walionishambulia

Siasa za nilipigwa risasi 30 hakuna anaezifatilia aisee Lissu ajipange upya alipata umaarufu kwa siasa za JPM kwa mama ataonekana kituko.
Vijana wa ccm ni wapumbavu sana kwamba jinai inakufa kifala hivi unaenda kuachia mafisadi kama wakina Singasinga halafu unashindwa kumkama aliyempiga risasi Tundu lissu, kumteka Mo na kumteka Roma?

Siasa hizi hazitaisha mpaka pale justice itakuwa huru kumshughulikia kila mtu nchi hii.

Mama samia hajafanya hata 10% ya mambo ya msingi katika nchi
 
Aache kelele zake zisizo na tija. Anachosha.
IMG_20210620_193027.jpg
 
Vijana wa ccm ni wapumbavu sana kamba jinai inakufa kifala hivi unaenda kuachia mafisadi kama wakina Singasinga halafu unashindwa kumka aliyempiga risasi Tundu lissu, kumteka Mo na kumteka Roma

Siasa hizi hazitaisha mpaka pale justice itakuwa huru kumshughulikia kila mtu
Ukishaona mtu anajiita Magonjwa Mtambuka Bia yetu Kawe Alumni sijui na.majina gani mengine ya kipuuzi, unatarajia kichwani kutakua na kitu kweli?
 
Taarifa ya lini hii,toa taarifa iliyokamilika ili tukuhukumu kwa haki,baadae usije hapa ukilialia umeonewa.
Masala awamu pendwa, pumba haziruhusiwi mjini, hakuna wafugaji
Kwani hiyo twit haina tarehe?
 
Dereva na viongozi wengine wa chama chake wanajua kinachoendelea, ndio maana baada ya tukio akakimbilia kufichwa.

..inawezekana unachosema ni kweli.

..Ndio maana Lissu anasisitiza uchunguzi ufanyike ili waliojaribu kumuua watiwe nguvuni.
 
Vijana wa ccm ni wapumbavu sana kamba jinai inakufa kifala hivi unaenda kuachia mafisadi kama wakina Singasinga halafu unashindwa kumkama aliyempiga risasi Tundu lissu, kumteka Mo na kumteka Roma?

Siasa hizi hazitaisha mpaka pale justice itakuwa huru kumshughulikia kila mtu nchi hii.

Mama samia hajafanya hata 10% ya mambo ya msingi katika nchi
Mkuu umenena vyema.
 
Back
Top Bottom