Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Ok.Pole kwa kuchoshwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok.Pole kwa kuchoshwa
Dereva wa Lissu angekufa hao waliomshambulia wasingekamatwa ?Shukuran ya punda ni mateke, Lisu siku zote anachoangalia yeye ni tumbo lake na sio wema wa mtu yoyote. Kuhusu waliomshambulia aruhusu dereva wake aje ahojiwe na polisi ili waliomshambulia waweze kukamatwa kama anavyotaka. Angalie njia nyingine ya kutafuta pesa za kumlipa Amsterdam.
Kakubaka?Kwangu mimi hana tofauti na vibaka wengine.
Lissu alikuwa relevant kwenye politics toka 1995 mpaka leo sembuse na awamu ya special groups ?Siasa za nilipigwa risasi 30 hakuna anaezifatilia aisee Lissu ajipange upya alipata umaarufu kwa siasa za JPM kwa mama ataonekana kituko.
Siku Wale Interahamwe wanapandishwa Kizimbani halafu Lissu analipwa stahiki zake sijui utafura upasuke.huyo mbelgiji wa ikungi akae kwa kutulia huko aliko hana jipya sasa...
ukitaka aitwe jpm auUnamwita huyo jamaa mheshimiwa?
We ungetwangwa risasi mbili tu ungeshakufa, mwenzie risasi 16 anadunda tuHuyu lissu atapevuka lini,atulie huko ubeligi kwa bwana zake ,huku sisi tuko bize kijenga nchi
Wanajulikana Magufuli, Makonda na Kapilimba..Mama aunde Tume Huru ya Uchunguzi ikate mzizi wa fitina kuhusu nani alitaka kumuua Tundu Lissu.
Waliozaliwa kwenye vigodoro kama huyu utawajua tu. Lugha zao ni chafu na zinakera.Huyu pungu kweli! Mdomo wake huo unaobwabwaja na kutusi kila mtu hautoshi kutoa ushauri kwa mama eeh🤔!? Dereva waliomficha na Mbowe wake ndio awashauri wajitokeze na kutajana na walipane wenyewe kwa wenyewe! Na kama nchi kwa yote ya hovyo aliyoipakazia nchi yetu na JPM wetu pia tutahitaji 'compensation'!
Kama ni kweli JPM alitaka kumdhuru mbona harudi nchini baada ya Mh. Dr JPM (Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi amen) kuitwa na Muumba wake!?
Taarifa ya lini hii,toa taarifa iliyokamilika ili tukuhukumu kwa haki,baadae usije hapa ukilialia umeonewa.Kizazi cha nyoka mnamatatizo sana.View attachment 1824787
Na driver pia tushinikize asaidie uchunguzi
Hili suala linaweza kua rahisi sana endapo kila mhusika atashiriki kwenye uchunguzi.
Uchaguzi Mumeupora, Lissu mulitaka afe bado tuu hamujaridhika.Huyu lissu atapevuka lini,atulie huko ubeligi kwa bwana zake ,huku sisi tuko bize kijenga nchi