Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa Kamili itakujia hivi Punde
========
Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo.
Lissu amesindikizwa na kundi dogo la Watu wakiwemo viongozi na Wanachama wa Chadema, akiwa na Bahasha ya Khaki inayosadikika kuwa na risiti ya Malipo ikiwa ni gharama ya fomu hiyo
Inatarajiwa Wagombea zaidi ya watano Watajitokeza kuomba Nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa
Mungu Ibariki Chadema
Pia, Soma
• Tundu Lissu: Haikuwa rahisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti
• CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo