Pre GE2025 Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa mwanachama anayekipenda Chama na mwenye akili timamu Tundu Lissu ndiye anayefaa kukiongoza CHADEMA. Mtu mmoja anawezaje kuendelea kuwa Mwenyekiti kwa zaidi miaka 20. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA msije mkarubuniwa na rushwa wakati wa uchaguzi. Fanyeni uamuzi ulio sahihi ili kukinusuru Chama.
KWANI Erythrocyte ANASEMAJE YEYE?
 
Kwa mwanachama anayekipenda Chama na mwenye akili timamu Tundu Lissu ndiye anayefaa kukiongoza CHADEMA. Mtu mmoja anawezaje kuendelea kuwa Mwenyekiti kwa zaidi miaka 20. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA msije mkarubuniwa na rushwa wakati wa uchaguzi. Fanyeni uamuzi ulio sahihi ili kukinusuru Chama.
Ukweli 100%
 
Ninachoamini sasa ni kuwa Lisu katuzindua wanachama kuwa chama sii chetu tena ila cha mbogamboga na mapandikizi yao ndani ya chama.
 
Yuko brella sijui wapi wapi kule kwa Jaji M anafanya mchakato wa kusajili chama kipya - Chama cha Demokrasia na Wazalendo - CDW!
Kama mnadhani kuanzisha chama na kukijenga ni mchezo muulizeni Zitto Kabwe atawaeleza.

Nafuu ya ACT imepatikana kwa Seif Sharrif Hamad na wafuasi wake kuhamia ACT na hata hivyo ni nguvu ya Zanzibar tu upande wa bara ngoma ngumubZitto kaamuwa akae pembeni apige mitikasi ya kugombea Ubunge.
 
Kwa mwanachama anayekipenda Chama na mwenye akili timamu Tundu Lissu ndiye anayefaa kukiongoza CHADEMA. Mtu mmoja anawezaje kuendelea kuwa Mwenyekiti kwa zaidi miaka 20. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA msije mkarubuniwa na rushwa wakati wa uchaguzi. Fanyeni uamuzi ulio sahihi ili kukinusuru Chama.
True
 
Mkuu, lakini mwenye chama chake keshasema ANARUDI MZIGONI.
Akishinda watu watatilia shaka ushindi wake kwasabu watu wengi wapo timu lissu, na kama kamati watampitisha mbowe basi watabaki wao na chadema yao nq wanachama hakika tutagawanyika! tuombe mungu sana! Ikiwa hekima ya kibinadamu ya mbowe kuachia imeshindwa kuapply
 
Kwa mwanachama anayekipenda Chama na mwenye akili timamu Tundu Lissu ndiye anayefaa kukiongoza CHADEMA. Mtu mmoja anawezaje kuendelea kuwa Mwenyekiti kwa zaidi miaka 20. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA msije mkarubuniwa na rushwa wakati wa uchaguzi. Fanyeni uamuzi ulio sahihi ili kukinusuru Chama.
Wajumbe 1200 ndiyo wataamua nani awe kidume wa chama.
 
Akishinda watu watatilia shaka ushindi wake kwasabu watu wengi wapo timu lissu, na kama kamati watampitisha mbowe basi watabaki wao na chadema yao nq wanachama hakika tutagawanyika! tuombe mungu sana! Ikiwa hekima ya kibinadamu ya mbowe kuachia imeshindwa kuapply
Mkuu, tofauti ya TAL na Mbowe kuhusu suala la ushindi tayari ilishajulikana kitambo kwenye chaguzi za kanda. Wajumbe zaidi ya 97% unawajua wako upande wa nani?

Siku kamanda alipotangaza kwamba anarudi mzigoni, hiyo ngoma ikawa imeisha hivyo. TAL anajua hilo. Wafuasi wake nao wanalijua hilo. Ndiyo maana huwaambii kitu kuhusu suala la kupiga kura.

Yaani mwenyekiti atangaze kwamba anarudi mzigoni ^kukinusuru^ chama chake kinachoelekea ^kuzamishwa,^ halafu eti akwamwishwe kwa boksi? Unaota nini?
 
Ndumilakuwili Tlaatlaah Guruguja ChoiceVariable na jqbali la siasa Lucas Mwashambwa mna lipi la kuchangia viruses ?.
gentleman,
huwa mnavuta shisha ile ya mixer na ugoroeeee mnapotoa maelezo kama haya right?

kwamba wajumbe wamchague ombaomba asie na aibu na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi,

waache mzalendo anaejitegemea na aliejitosheleza kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa Statesman Freeman Aikaeli Mbowe? 🐒
 
waache mzalendo anaejitegemea na aliejitosheleza kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa Statesman Freeman Aikaeli Mbowe?
Ndumilakuwili ulikuwa ukiimba Chama kipo kikabila, Leo umejiunga kwenye kabila ?
 
Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaetegemea wanyanturu pekee, subiri tu atanyoroshwa vizuri sana kwenye uchaguzi huu wa chadema 🐒
 
Rest in peace chadema tulikupenda sana ila kuna watu wameamua Kwa makusudi kukupenda zaidi🙏🙏🙏

kwakweli ipumzike kwa Amani tu, maana vijana wameteseka na kuhangaishwa sana na chama hicho angalau wapumzike sasa 🐒
 
Back
Top Bottom