Pre GE2025 Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

Pre GE2025 Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi hiyo mchana huu wa Desemba 17 katika Makao Makuu ya chama hicho, Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
View attachment 3178773

Pia, Soma

Tundu Lissu: Haikuwa raisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti

CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
Wapi Yericko, wapi Boniyai, wapi Malaria Sugu, Lucas Mwashambwa msiyemtaka ndiyo huyo ameianza safari rasmi
 
Lissu anafaa sana na wengi wangependa mabadiliko yanafanyika katika chama hiki ili angalau tupate radha mpya katika siasa za Tanzania.

Ila kile kinachooneshwa na Yeriko na Boni Yai ni wazi bado Mbowe hayupo tayari kuachia nafasi hiyo.

Kifuatacho ni Lissu kufanyiwa zengwe hadi aukose uenyekiti, jambo ambalo litamkosesha nafasi ya ushawishi ndani ya chama.

Hata hivyo baada ya mbowe kushinda, chadema haiwezi kubaki na nguvu kisiasa kama ilivyokuwa toka enzi za kina Dr. Slaa... Mbowe yupo smart sana ila kuna wakati muda nao unakuengea despite your smartness, kumbuka J. K Nyerere alivyolazimika kuachia madaraka akiwa mdau wa siasa za ujamaa, mfumo wa uzalishaji uliozidiwa nguvu na ubepari.
Aling'atuka na kuvuna sifa kuwa hakung'ang'ania madarakani kama marais wengine wa Afrika ila ukweli ni kuwa tayari muda ulishamtupa nje ya mifumo ya kiutawala.

Mbowe akishinda CCM itaimarika zaidi pasipo kufanya jambo lolote la maana katika jamii, ila tu kwa kuwa haitakuwa na upinzani imara. Hata ukiwauliza CCM watafurahia ushindi wa nani kati ya mbowe na lissu, watakwambia bora mbowe.

Anyway. Mambo ya uchaguzi wowote katika nchi hii, uwe wa kisiasa ama kidini hata vikoba au familia si wa kushabikia kama upo nje ya mfumo wa watakaosimamia uchaguzi husika.
 
Anacheka cheka kama vile ana uwezo wa kupata hata kura 100
 
Nawasikitikia machawa wanavoendelea kuumizwa, hili jamaa likiamua kitu huwa halisimamishwi na ntu zaidi ya halmashauri ya kichwa chake yani! Hebu fikiria jiwe na mkwara wake wote lakini lijamaa likamuita dikteta uchwara halafu ilikua Kisutu yani, mile 1 tu kwenda magogoni sasa hawa akila jerico, tlaalalaaa na mwashambwa hapa Jf watalisumbua kweli kwa vipost na threads za kila baada ya dakika deile???

Inafikirisha sana dah!
 
Back
Top Bottom