Tundu Lissu Addressing on Humam Rights and Peace Centre Nchini Uganda, Makerere University. Wenyewe wasema Lissu ni Nyerere Wa Pili

Anamsikilizia nini?
Kaineugaba ataona kama vila Lisu anataka kuwaamsha watu wa Uganda. Kwa akili za Kainerugaba, ngoja tusubiri atasema nini! Kufanya kongamano la haki za binadamu Uganda mana yake Lisu atakuwa anaponda mambo ambayo ukiyasikiliza yanakuwa anasawiri pia maisha ya Uganda. Mfano kuminya upinzani nk!
 
Hata mimi simwamini kabisa yule kijana ni hatari😅😅
Kwa akili za Lisu, akizungumzia kuhusu human rights lazima ataponda mifumo ya kuminya wapinzani na kuminya demokrasia kitu ambacho Uganda wanafanya. Hapo Kainerugaba lazima ataona Lisu anatibua mambo!
 
Kwa akili za Lisu, akizungumzia kuhusu human rights lazima ataponda mifumo ya kuminya wapinzani na kuminya demokrasia kitu ambacho Uganda wanafanya. Hapo Kainerugaba lazima ataona Lisu anatibua mambo!
Nimeona amezungumzia
1.TANU
2.KANU
3.SWANU
4.ZANU.

Sikuwa najua kwanini hizi Liberation association zilifanana majina Mwanzoni mwa 1960's.
 
Vipi kuhusu uchumi duni wa Afrika?
 
Sasa na yule mzanzibari anajiandaa kumjibu Kwa hotuba fasaha ya kiinglish!
 
Huku kua vi bushuti na chawa wa kijani wasiojua hata maana ya katiba au haki za kiraiya wanawaita viongozi wa upinzani ni VIBAKA humu nchi! Haya tumpeleke WASIRA hapo makerere tuone inakuaje
Kwenu chawa wa mama
 
Mama angekuwa na uwezo huo tungekoma leo hahhaaaahhaa
Machawa yangekesha kupost post tu leo

..Mama Abduli hawezi kuandaa mwenyewe material na kwenda kuwasilisha ktk jumuiya wa wasomi.

..wakati Mama Abduli akiandaliwa hotuba na kushindwa kuzisoma, Lissu anaandaa hotuba zake mwenyewe na anaaminiwa kwenda kuziwasilisha maeneo mbalimbali.
 
Hilo linahusiana na mada atakayotoa?
Mimi sijui atatoa mada katika kipengele gani ndani ya Human Rights, nimetoa tahadhari tu asije kunyimwa kibali cha kuingia Uganda next.

Mada kwa ujumla inahusu Human Rights. Sasa kwa mtu kama Lisu itakuwa mtihani azungumzie angle ya human rights bila kutaja ukandamizaji wa wapinzani na kuminya demokrasia. Kikubwa asitolee mfano Kiiza Besigye na Bobi Wine mana ndio mfano halisi wa ukandamizaji kwa upinzani Uganda, atawakasirisha kina Museven na mtoto wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…