Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #41
Japo ni kweli lakini unachosemaMimi sijui atatoa mada katika kipengele gani ndani ya Human Rights, nimetoa tahadhari tu asije kunyimwa kibali cha kuingia Uganda next.
Mada kwa ujumla inahusu Human Rights. Sasa kwa mtu kama Lisu itakuwa mtihani azungumzie angle ya human rights bila kutaja ukandamizaji wa wapinzani na kuminya demokrasia. Kikubwa asitolee mfano Kiiza Besigye na Bobi Wine mana ndio mfano halisi wa ukandamizaji kwa upinzani Uganda, atawakasirisha kina Museven na mtoto wake
Ndugu zangu niwashikishe kinachoendelea kwa sasa Nchini Uganda.
Hon Tundu Lissu kwa sasa yuko Nchini Uganda akihutumia watu wa Nchi Mbali mbali ktk Chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki cha Makerere.
Tundu Lissu ana zungumza na Wasomi Mbali mbali Wakiwemo Wanasheria Nguli Afrika na Duniani. Wapo Wageni wa Ulaya, Asia na Amerika.
Ndani ya Uganda wanashuhudia Lissu kama ujio wa pili wa aliyewahi kiwa Rais Wa Kwanza Tanzania Mwl Nyerere.
Ikumbukwe kuwa Mwl Nyerere alikuwa msomi, mwanafalsafa aliyependa mijadala ya kisomi ktk vyuo vikuu mbali mbali Duniani ikiwemo Makerere, Harvard Cha Marekani na Oxford cha Uingereza.
Mada kuu inahusu LEGASI ya Mwalimu Nyerere ktk Maswala ya Katiba, Demokrasia na Utawala bora.
Anna Reisman ni Contry Direct anayesimamia Haki, Amani na Demokrasia kwa Ukanda wa Uganda na sudani akitokea Ujermani.
View: https://www.youtube.com/live/WKgA2X-PkQk?si=OL22E4loS10EGh20
Wanaishia kunong'ona tu chini chini😅Machawa hawana uwezo Lissu ni different level
Ngoja Lusungo aje.Ndugu zangu niwashikishe kinachoendelea kwa sasa Nchini Uganda.
Hon Tundu Lissu kwa sasa yuko Nchini Uganda akihutumia watu wa Nchi Mbali mbali ktk Chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki cha Makerere.
Tundu Lissu ana zungumza na Wasomi Mbali mbali Wakiwemo Wanasheria Nguli Afrika na Duniani. Wapo Wageni wa Ulaya, Asia na Amerika.
Ndani ya Uganda wanashuhudia Lissu kama ujio wa pili wa aliyewahi kiwa Rais Wa Kwanza Tanzania Mwl Nyerere.
Ikumbukwe kuwa Mwl Nyerere alikuwa msomi, mwanafalsafa aliyependa mijadala ya kisomi ktk vyuo vikuu mbali mbali Duniani ikiwemo Makerere, Harvard Cha Marekani na Oxford cha Uingereza.
Mada kuu inahusu LEGASI ya Mwalimu Nyerere ktk Maswala ya Katiba, Demokrasia na Utawala bora.
Anna Reisman ni Contry Direct anayesimamia Haki, Amani na Demokrasia kwa Ukanda wa Uganda na sudani akitokea Ujermani.
View: https://www.youtube.com/live/WKgA2X-PkQk?si=OL22E4loS10EGh20
Lissu is GiftedLissu anajua aiseee!
Nimeangalia hadi nimependa.
Ukimuangalia anavyotiririka kwa confidence hoja nzito tena kwa lugha ile alafu ukifikiri kuwa yeye sio Rais wa nchi hii. Lazima ukubali Tanzania tulirogwa aisee
Lissu anajiandaa kuwa Rais Wa Tanzanzia.Actually he done well ,,, 14 questions were enough to get him out of the way but he managed to stay on his way ,, i believe,, if it was Mrs Samia doing this press conference with Makerere students ,, right now most people would have enough questions to ask themselves
All in all ,, Mr tundulisu have showed us why he wants to become the president of this great Nation of Tanzania
06 March 2025Ndugu zangu niwashikishe kinachoendelea kwa sasa Nchini Uganda.
Hon Tundu Lissu kwa sasa yuko Nchini Uganda akihutumia watu wa Nchi Mbali mbali ktk Chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki cha Makerere.
Tundu Lissu ana zungumza na Wasomi Mbali mbali Wakiwemo Wanasheria Nguli Afrika na Duniani. Wapo Wageni wa Ulaya, Asia na Amerika.
Ndani ya Uganda wanashuhudia Lissu kama ujio wa pili wa aliyewahi kiwa Rais Wa Kwanza Tanzania Mwl Nyerere.
Ikumbukwe kuwa Mwl Nyerere alikuwa msomi, mwanafalsafa aliyependa mijadala ya kisomi ktk vyuo vikuu mbali mbali Duniani ikiwemo Makerere, Harvard Cha Marekani na Oxford cha Uingereza.
Mada kuu inahusu LEGASI ya Mwalimu Nyerere ktk Maswala ya Katiba, Demokrasia na Utawala bora.
Anna Reisman ni Contry Direct anayesimamia Haki, Amani na Demokrasia kwa Ukanda wa Uganda na sudani akitokea Ujermani.
View: https://www.youtube.com/live/WKgA2X-PkQk?si=OL22E4loS10EGh20
Big no, hujui tuChuo kikuu cha Dar kimekuwa ni Chawa wa watawala.
Tuko live06 March 2025
#LIVE|Lissu at Makerere University – Constitutional Legacy of Mwalimu Nyerere in Tanzania and Uganda
View: https://m.youtube.com/watch?v=01T-W4sdMdY
Hizo fikra zako zinaakisi unachowaza baada ya lissu kumshinda mbowe!CCM wanatamani aanguke jukwaani
Aisee yale tuliyoogopa jamaa kayasema.Kaineugaba ataona kama vila Lisu anataka kuwaamsha watu wa Uganda. Kwa akili za Kainerugaba, ngoja tusubiri atasema nini! Kufanya kongamano la haki za binadamu Uganda mana yake Lisu atakuwa anaponda mambo ambayo ukiyasikiliza yanakuwa anasawiri pia maisha ya Uganda. Mfano kuminya upinzani nk!
Hahahaha! Nilijua tu kwa akili za Lisu!Aisee yale tuliyoogopa jamaa kayasema.
Ukimbi mzima Wanachuo wanamuonea huruma, wote wameshika tamaa, kimya kimetanda.
Akauliza, Are you Okay?
Sijui kama atavuka😅😅
Hajagusia habari za Kiiza Besigye na Bobi Wine kubinywa haki zao za binadamu na Museveni na Kainerugaba?Aisee yale tuliyoogopa jamaa kayasema.
Ukimbi mzima Wanachuo wanamuonea huruma, wote wameshika tamaa, kimya kimetanda.
Akauliza, Are you Okay?
Sijui kama atavuka😅😅
Amesema Tu Ugandani Politics zimekuwa Miltarised na Miltary yake imekuwa Politised kama nchi moja jirani.Hajagusia habari za Kiiza Besigye na Bobi Wine kubinywa haki zao za binadamu na Museveni na Kainerugaba?
Hahaha! Nilihisi tu itakuwa hivyo! Kainerugaba lazima atapanic tu!Amesema Tu Ugandani Politics zimekuwa Miltarised na Miltary yake imekuwa Politised kama nchi moja jirani.
Ametaja mambo mengine mazito sana hadi nimeogopa
Fafanua mkuu hapa sijakupataNyerere katuangusha sana