Tundu Lissu Addressing on Humam Rights and Peace Centre Nchini Uganda, Makerere University. Wenyewe wasema Lissu ni Nyerere Wa Pili

Mimi sijui atatoa mada katika kipengele gani ndani ya Human Rights, nimetoa tahadhari tu asije kunyimwa kibali cha kuingia Uganda next.

Mada kwa ujumla inahusu Human Rights. Sasa kwa mtu kama Lisu itakuwa mtihani azungumzie angle ya human rights bila kutaja ukandamizaji wa wapinzani na kuminya demokrasia. Kikubwa asitolee mfano Kiiza Besigye na Bobi Wine mana ndio mfano halisi wa ukandamizaji kwa upinzani Uganda, atawakasirisha kina Museven na mtoto wake
Japo ni kweli lakini unachosema
 
Ndugu zangu niwashikishe kinachoendelea kwa sasa Nchini Uganda.

Hon Tundu Lissu kwa sasa yuko Nchini Uganda akihutumia watu wa Nchi Mbali mbali ktk Chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki cha Makerere.

Tundu Lissu ana zungumza na Wasomi Mbali mbali Wakiwemo Wanasheria Nguli Afrika na Duniani. Wapo Wageni wa Ulaya, Asia na Amerika.

Ndani ya Uganda wanashuhudia Lissu kama ujio wa pili wa aliyewahi kiwa Rais Wa Kwanza Tanzania Mwl Nyerere.

Ikumbukwe kuwa Mwl Nyerere alikuwa msomi, mwanafalsafa aliyependa mijadala ya kisomi ktk vyuo vikuu mbali mbali Duniani ikiwemo Makerere, Harvard Cha Marekani na Oxford cha Uingereza.

Mada kuu inahusu LEGASI ya Mwalimu Nyerere ktk Maswala ya Katiba, Demokrasia na Utawala bora.

Anna Reisman ni Contry Direct anayesimamia Haki, Amani na Demokrasia kwa Ukanda wa Uganda na sudani akitokea Ujermani.

View: https://www.youtube.com/live/WKgA2X-PkQk?si=OL22E4loS10EGh20

Machawa hawana uwezo Lissu ni different level
 
Lissu anajua aiseee!

Nimeangalia hadi nimependa.

Ukimuangalia anavyotiririka kwa confidence hoja nzito tena kwa lugha ile alafu ukifikiri kuwa yeye sio Rais wa nchi hii. Lazima ukubali Tanzania tulirogwa aisee
 
Ngoja Lusungo aje.
 
Lissu is Gifted
 
Actually he done well ,,, 14 questions were enough to get him out of the way but he managed to stay on his way ,, i believe,, if it was Mrs Samia doing this press conference with Makerere students ,, right now most people would have enough questions to ask themselves

All in all ,, Mr tundulisu have showed us why he wants to become the president of this great Nation of Tanzania
 
Lissu anajiandaa kuwa Rais Wa Tanzanzia.

Keep This Comment for testmony soon or later
 
Ndugu zangu niwashikishe kinachoendelea kwa sasa Nchini Uganda.

Hon Tundu Lissu kwa sasa yuko Nchini Uganda akihutumia watu wa Nchi Mbali mbali ktk Chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki cha Makerere.

Tundu Lissu ana zungumza na Wasomi Mbali mbali Wakiwemo Wanasheria Nguli Afrika na Duniani. Wapo Wageni wa Ulaya, Asia na Amerika.

Ndani ya Uganda wanashuhudia Lissu kama ujio wa pili wa aliyewahi kiwa Rais Wa Kwanza Tanzania Mwl Nyerere.

Ikumbukwe kuwa Mwl Nyerere alikuwa msomi, mwanafalsafa aliyependa mijadala ya kisomi ktk vyuo vikuu mbali mbali Duniani ikiwemo Makerere, Harvard Cha Marekani na Oxford cha Uingereza.

Mada kuu inahusu LEGASI ya Mwalimu Nyerere ktk Maswala ya Katiba, Demokrasia na Utawala bora.

Anna Reisman ni Contry Direct anayesimamia Haki, Amani na Demokrasia kwa Ukanda wa Uganda na sudani akitokea Ujermani.

View: https://www.youtube.com/live/WKgA2X-PkQk?si=OL22E4loS10EGh20

06 March 2025

#LIVE|Lissu at Makerere University – Constitutional Legacy of Mwalimu Nyerere in Tanzania and Uganda​

View: https://m.youtube.com/watch?v=01T-W4sdMdY
 
Kaineugaba ataona kama vila Lisu anataka kuwaamsha watu wa Uganda. Kwa akili za Kainerugaba, ngoja tusubiri atasema nini! Kufanya kongamano la haki za binadamu Uganda mana yake Lisu atakuwa anaponda mambo ambayo ukiyasikiliza yanakuwa anasawiri pia maisha ya Uganda. Mfano kuminya upinzani nk!
Aisee yale tuliyoogopa jamaa kayasema.

Ukimbi mzima Wanachuo wanamuonea huruma, wote wameshika tamaa, kimya kimetanda.

Akauliza, Are you Okay?

Sijui kama atavuka😅😅
 
Hajagusia habari za Kiiza Besigye na Bobi Wine kubinywa haki zao za binadamu na Museveni na Kainerugaba?
 
Amesema Tu Ugandani Politics zimekuwa Miltarised na Miltary yake imekuwa Politised kama nchi moja jirani.

Ametaja mambo mengine mazito sana hadi nimeogopa
 
Hahaha! Nilihisi tu itakuwa hivyo! Kainerugaba lazima atapanic tu!
 
Back
Top Bottom