OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Aisee yale tuliyoogopa jamaa kayasema.
Ukimbi mzima Wanachuo wanamuonea huruma, wote wameshika tamaa, kimya kimetanda.
Akauliza, Are you Okay?
Sijui kama atavuka😅😅
Ajabu ni kwamba hata mwanzilishi wa mijadala ya aina hii pale UDSM Mwalimu Nyerere hakuwa mtu wa kukumbatia mapambio. Tujiulize je tuishi ktk legacy yake?Hapo ingekuwa UDSM (japo Lissu hawezi kupewa nafasi hiyo) hapo kungekuwa na mapambio ya mama anaupiga mwingi tu.
This Dude is above next level
his oration and articulation skills are just out of this world. Nahisi anashabihiana na Marehemu Mkapa likija swala zima la kujenga hoja na ku engage with the audience.This Dude is above next level
Lisu kitu pekee anachokiweza ni kuongeahis oration and articulation skills are just out of this world. Nahisi anashabihiana na Marehemu Mkapa likija swala zima la kujenga hoja.
nacho ni kipaji pia, sio kila mfungua kinywa na kutoa maneno ni muongeaji.Lisu kitu pekee anachokiweza ni kuongea
Ww ni kenge kabisa!Lisu kitu pekee anachokiweza ni kuongea
Nimesikiliza dk zote 36 na sekunde 10. Nachoweza kusema ni kuwa kama hawa wanafunzi wangekuwa wa UDSM au chuo chochote cha Tanzania lazima wangepewa suspension na kisha kupotezwa mazima.
Mwambie na yeye chura kiziwi akaongee na wana UDSM kwa kingereza bila kusoma uijioneeLisu kitu pekee anachokiweza ni kuongea