Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ndugu zangu niwashikishe kinachoendelea kwa sasa Nchini Uganda.
Hon Tundu Lissu kwa sasa yuko Nchini Uganda akihutumia watu wa Nchi Mbali mbali ktk Chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki cha Makerere.
Tundu Lissu ana zungumza na Wasomi Mbali mbali Wakiwemo Wanasheria Nguli Afrika na Duniani. Wapo Wageni wa Ulaya, Asia na Amerika.
Ndani ya Uganda wanashuhudia Lissu kama ujio wa pili wa aliyewahi kiwa Rais Wa Kwanza Tanzania Mwl Nyerere.
Ikumbukwe kuwa Mwl Nyerere alikuwa msomi, mwanafalsafa aliyependa mijadala ya kisomi ktk vyuo vikuu mbali mbali Duniani ikiwemo Makerere, Harvard Cha Marekani na Oxford cha Uingereza.
Mada kuu inahusu LEGASI ya Mwalimu Nyerere ktk Maswala ya Katiba, Demokrasia na Utawala bora.
Anna Reisman ni Contry Direct anayesimamia Haki, Amani na Demokrasia kwa Ukanda wa Uganda na sudani akitokea Ujermani.
View: https://www.youtube.com/live/WKgA2X-PkQk?si=OL22E4loS10EGh20