Pre GE2025 Tundu Lissu afafanua No Reform No Election, hatuzungumzii kususia uchaguzi na hatutasusia bali Uchaguzi hautofanyika!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vyama vipo vingi sio chadema pekee!
 
Anachotakiwa sasa ni kuandaa mikakati thabiti ya kupambana na hao maadui wanaosababisha miaka nenda uchaguzi kukosa sifa za kuwa huru na wa haki, kiasi cha kusababisha wananchi wengi kususa kupiga kura!

Kuanzia policcm, tumeccm, na serikali yenyewe.
 
Chadema ianze sasa kuandikisha wanachama wake nchi nzima na kutafuta wanachama, marafiki na mashabiki watakaoweza kuchangia pesa kuanzia mia tano mpaka mil. 1.5 kuanzia ngazi ya msingi .

Lengo iwe kupata bil.50 kufikia mwezi october.

Chama kijenge na wananchi wenyewe.
 
ni upotoshaji tu,

lengo la hotuba ya huyo mpotoshaji kibaraka lilikua ni moja tu, kuomba pesa. Full stop.
Kima kibaraka wa CCM njaa kali kwenye ubora wako pale unapopambania ugali wako. Hakika unastahili posho ya uchawa.
 
Jambo la kwanza la kufanya ni kuwafanya Wabongo Waudharau uchaguzi feki, kumdharau na kumpuuza yeyote atakeyshiriki kuwezesha uchaguzi wa kihuni, na kuwadharau wote watakaopata uongozi kutokana na uchaguzi wa kimagushi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…