BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Samahani nipo nje kidogo ya mada, hivi m23 huko Congo wametokea wapiKila taifa lina taratibu zake za kiuchaguzi duniani, kwa tanzania taratibu safi tulizojiwekea ndizo tunazozifuata!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani nipo nje kidogo ya mada, hivi m23 huko Congo wametokea wapiKila taifa lina taratibu zake za kiuchaguzi duniani, kwa tanzania taratibu safi tulizojiwekea ndizo tunazozifuata!
DuuhAbdul naomba ongea na lissu mupe mapesa apunguze kukusumbua mama
Mzanzibar hatuokubali katiba mpya itakayo mbana, kwanini tusipige kura kidigitali?
Lisu siyo wa kitoto ana network njeChadema hawana nguvu ya kuzuia uchaguzi usifanyike kwasababu kuna mamluki ya vyama vya upinzani labda utakosa tu credibility
Bando ni kisanga mkuu![]()
Join Live Speech: Tundu Lissu [VISION,PLANS,STRATEGIS,MAAZIMIO]
You were invited to join this live roomwww.clubhouse.com
Vyama vipo vingi sio chadema pekee!Tunaposema bila mabadiliko hakuna uchaguzi tuna maana gani?
Tuna maaana kwamba kusipokuwa na mabadiliko yanayohitajika ya mfumo wa uchaguzi, tutafanya kila tunaloweza, kwa nguvu tulizonazo kuhakikisha kwamba uchaguzi mkuu haufanyiki mwaka huu, hatuzungumzii kususia uchaguzi, hatutasusia, tutaenda kuwaambia Watanzania, na tutaiambia jumuiya ya kimataifa, na tutawaambia walimwengu kwamba kama CCM na serikali yake haipo tayari kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha chaguzi huru na za haki, uchaguzi wa mwaka huu usifanyike kabisa, ndiyo maana ya 'No Reform No Election' bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Ninataka niwe wazi hapa, huu siyo uamuzi wa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Tundu Lissu, huu ni msimamo wa CHADEMA kama ulivyowekwa na vikao vyake vya juu vya kikatiba: Kamati Kuu, Baraza Kuu, Mkutano Mkuu wa Taifa" - Lissu.
MfanoVyama vipo vingi sio chadema pekee!
Kivip kaka ?Bando ni kisanga mkuu
Bando la kujiunga huko kwenye space sijui YouTube ni kipengeleKivip kaka ?
Kwani CHADEMA inataka kuzuia uchaguzi ama haitaki uchaguzi feki?Kwa hiyo njia ya kuuzuia huo uchaguzi ameeleza ni ipi?
Maana uchaguzi upo na vyama vya upinzani vitashiriki.
Chadema ianze sasa kuandikisha wanachama wake nchi nzima na kutafuta wanachama, marafiki na mashabiki watakaoweza kuchangia pesa kuanzia mia tano mpaka mil. 1.5 kuanzia ngazi ya msingi .Leo mheshimiwa Lissu amelihutubia Taifa na kulieleza hatua kwa hatua juu ya uamuzi wa chama cha CHADEMA kuwa KAMA HAKUNA MABADILIKO YA MSINGI KWENYE KATIBA NA SHERIA zinahosu uchaguzi nchini basi CHAMA hicho HAKITAKUBALI Uchaguzi feki ufanyike nchini mwezi october 2025.
Akiongea kwa nukta, huku akieleza kwa takwimu na mifano halisi, Lissu amewafumbua macho watanzania kuwa PROCESS nzima ya Tanzania inayohusika na uchaguzi haiwezi kutoa uchaguzi huru na haki, na ushahidi wa hilo ni chaguzi nyingi zilizopita toka mwaka 1995.
Lissu akaeleza kuwa kwa sasa nchini HAIWEZEKANI kamwe kukawa na uchaguzi wo haki, maana CCM imeondokewa na haya kabisa.
Ndugu Lissu akaainisha matatizo kuanzia.
1)Daftari la Mpiga kura ambalo utaratibu wa kuliupdate na kupata taarifa zake inakuwa ni tabu.
2)Magumashi kipindi cha ratiba za kampeni na uhuni mwingi kwa mfano kipindi cha kampeni vyombo vya habari vya umma huwa vinageuka Mouthpiece ya CCM. Havina fairness yoyote.
3) Akazungumza kuhusu magumashi kwenye kuwaengua wagombea wa upinzani.
4) Akazungumzia magumashi kwenye kuwaengua mawakala wa kusimamia uchaguzi wa vyama vya upinzani.
5) Akazungumzia magumashi kwenye kupiga kura m
kama vile maboksi ya kura kuchukukuliwa na mapolisi chini ya mtutu wa bunduki na ukisimama ktk njia yao wanakupiga risasi.
6)Akazungumza kuhusu kura feki ambazo CCM wanajiongezea, mfano mwaka 2020 kuna zaidi ya kura milioni 2, ziliongezeka kinyume na idadi ya watu wote waliojiandikisha kupiga kura.
7)Akazungumza juu ya wateule wa NEC na wasimamizi wa uchaguzi ambao kimsingi ni watu wa rais ambaye ni mgombea pia.
Lissu akahoji wanaCHADEMA wenye kutaka kugombea, kuwa unawezaje kugombea ktk mazingira kama haya wakati unajua unapeleka kichwa chako ili uchinjwe?.
Lissu akawataka viongozi wa dini na taasisi nyingine nchini ziiunge mkono CHADEMA kwenye azma yake ya kuhakikisha sasa ndiyo mwanzo na mwisho wa chaguzi feki nchini. Akasema hii ni nchi yao pia wana wajibu wa kuhakikisha haki inatamalaki nchini.
Kisha akasema kuwa NO REFORMS NO ELECTION ( Bila mabadiliko ya mdingi nchini, basi uchaguzi haufanyiki) ni UAMUZI wa kikao cha juu kabisa cha chama yaani mkutano mkuu cha tarehe 21/1/2025. Kwa hiyo siyo maamuzi yake binafsi yeye kama yeye.
MY TAKE:
Lissu sasa ametuonyesha njia njema, tumemuelewa na tunamuunga mkono. Kwa kweli kuingia kwenye chaguzi huku ukijua unaenda kushiriki uchafuzi ni ujinga, ni kupoteza muda, ni kupoteza hela, kodi za wananchi. Sisi tunaunga mkono wa kupata KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI.
Kima kibaraka wa CCM njaa kali kwenye ubora wako pale unapopambania ugali wako. Hakika unastahili posho ya uchawa.ni upotoshaji tu,
lengo la hotuba ya huyo mpotoshaji kibaraka lilikua ni moja tu, kuomba pesa. Full stop.![]()
Haiko ni ze kura feki mlizoziandaa kwa matumizi ya OctoberHiyo ni kauli ya kihaini