Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kupita Ikungi barabarani sio kufika nyumbani kwao huko ndani kwa wanakijiji wenzake.Tatizo lako ni kuangalia TBC na Chanel ten muda wote sasa utajuaje kama aliwahi kufika Ikungi?
Hizo tv stations unazoangalia zenyewe zinakaa kichuki chuki na kichawi chawii ukitaka kutoka kifungoni achana nazo kwanza.